Ushauri naombeni msaada

Ushauri naombeni msaada

Joined
Aug 17, 2016
Posts
69
Reaction score
46
mm nikijana wa miaka 23 nimepata mpenzi miez wa tatu sasa lakin mpenzi huyi akija kwangu ukimgusa anasema anaunwa lakin huwa kila anachokitaka kutoka kwangu kwa hesabu za haraka miez mitatu ambayo nipo naye kwenye mahusiano ameshatumia tayari 150000 hiz ni pesa ambazo nimempa keshi acha zile vocha na vizawad hilo sio neno kwenye mapenz tatixo ni kwamba ananificha maisha yake hataki kuniweka wazi juu ya maisha yake na kwakeli ninampenda sana Hataki kuduu na ww na wala hatik tuongee kuhusu maisha yake kila hunipa ahad ambazo hazitimii

nisaidien ndugu yenu
 
ndugu yang ucendelee kupoteza muda wako, kama hawez kuendana na kasi yako...we tumbua tu af kesho uteue mwngne kukaimu nafas yake kama vle mtu flan hv.
 
fanya maamuzi magumu kabla hajaendelea kukutumbua zaidi, huyo anachukua laki na nusu kwako anaenda kumpa mwanaume mwenzio na miguu anamtanulia. Piga chini harakaaaa
nsshukuru kaka kwa ushauri wako hakina nitalifanya hilo
 
Back
Top Bottom