oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
..wakiwa na evidence za kutosha
,tangu hapo sijamcheat tena na amekua akiniamini sana..suprisingly jana wameanza kumtext tena dat namcheat na ma boy mwenyewe anasema hana cha kusema mana ilishawah tokea huko nyuma na kwamba atakuja choka sasa...nifanyaje mana bado nampenda sana?
kama tena wana ushahidi wa kutosha si utubu tu yaishe na kama hayaishi basi hakuna shida utampata yule ambaye Mola alikuandalia....
<br />mcheat live ili kama anakuacha na we ujue una makosa kuliko kuachwa wakati hujamcheat tena.
mambo?samahani wana jf naomba mnisaidie na hili...mie nina boyfriend wangu ambae tumekaa wote karibu 22miaka miwili..slakini katika hii miaka kumekua na na matatizo ya hapa na pale..kuna watu wamekua wakimtumia text kwamba namcheat ...wakiwa na evidence za kutosha..huku pia wakinitumia me pia kwamba lazima waniachanishe na huyu mwanaume...kiukweli nampenda boy wangu ikanbidi ni admit kwamba ni kweli nimekua nkikucheat but it was a long time..kama mwaka juzi hapo...jamaa ilimuuma na mi pia nliumia na ili tek time kunirudia..baada ya muda tukarudiana,tangu hapo sijamcheat tena na amekua akiniamini sana..suprisingly jana wameanza kumtext tena dat namcheat na ma boy mwenyewe anasema hana cha kusema mana ilishawah tokea huko nyuma na kwamba atakuja choka sasa...nifanyaje mana bado nampenda sana?
Tulia wewe mtoto wa kike,acha uma.laya wewe,ukimwi nje nje,tulia na wakooo,tamaaa mbaya tulia tulia mama mtu ushakaa nae miaka mi2 yanini kuangaika? au bado mtoto? mie nakushauri mtoto tulia wewe si umechagua wewe sasa mbona unaangaika! mtoto tulia wewe....
mmh mie sipendi mtu wa kuamini ya kuambiwa, japo hapo kwako atashtuka coz ulishamcheat mwanzo
inabidi ubadili maisha yako kwa ujumla, kuwa karibu nae muda mwingi fanya mambo yatakayomfanya
ajiulize huwa unacheat saa ngapi, jaibu kuwa unamjulisha kila mahala unapokuwa, huna jinsi ulishaliharibu
mwenyewe