oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
mambo?samahani wana jf naomba mnisaidie na hili...mie nina boyfriend wangu ambae tumekaa wote karibu 22miaka miwili..slakini katika hii miaka kumekua na na matatizo ya hapa na pale..kuna watu wamekua wakimtumia text kwamba namcheat ...wakiwa na evidence za kutosha..huku pia wakinitumia me pia kwamba lazima waniachanishe na huyu mwanaume...kiukweli nampenda boy wangu ikanbidi ni admit kwamba ni kweli nimekua nkikucheat but it was a long time..kama mwaka juzi hapo...jamaa ilimuuma na mi pia nliumia na ili tek time kunirudia..baada ya muda tukarudiana,tangu hapo sijamcheat tena na amekua akiniamini sana..suprisingly jana wameanza kumtext tena dat namcheat na ma boy mwenyewe anasema hana cha kusema mana ilishawah tokea huko nyuma na kwamba atakuja choka sasa...nifanyaje mana bado nampenda sana?