ushauri naomba

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
mambo?samahani wana jf naomba mnisaidie na hili...mie nina boyfriend wangu ambae tumekaa wote karibu 22miaka miwili..slakini katika hii miaka kumekua na na matatizo ya hapa na pale..kuna watu wamekua wakimtumia text kwamba namcheat ...wakiwa na evidence za kutosha..huku pia wakinitumia me pia kwamba lazima waniachanishe na huyu mwanaume...kiukweli nampenda boy wangu ikanbidi ni admit kwamba ni kweli nimekua nkikucheat but it was a long time..kama mwaka juzi hapo...jamaa ilimuuma na mi pia nliumia na ili tek time kunirudia..baada ya muda tukarudiana,tangu hapo sijamcheat tena na amekua akiniamini sana..suprisingly jana wameanza kumtext tena dat namcheat na ma boy mwenyewe anasema hana cha kusema mana ilishawah tokea huko nyuma na kwamba atakuja choka sasa...nifanyaje mana bado nampenda sana?
 
..wakiwa na evidence za kutosha

kama tena wana ushahidi wa kutosha si utubu tu yaishe na kama hayaishi basi hakuna shida utampata yule ambaye Mola alikuandalia....
 
,tangu hapo sijamcheat tena na amekua akiniamini sana..suprisingly jana wameanza kumtext tena dat namcheat na ma boy mwenyewe anasema hana cha kusema mana ilishawah tokea huko nyuma na kwamba atakuja choka sasa...nifanyaje mana bado nampenda sana?

kumbuka once a cheater ALWAYS the one.......................to shake the cradle of love...........
 
kama tena wana ushahidi wa kutosha si utubu tu yaishe na kama hayaishi basi hakuna shida utampata yule ambaye Mola alikuandalia....

now hawana ushaidi sababu sijawahi mcheat tena tangu kipindi kile..yani hii ya saiv ni visa tuu...ila ukweli ni kwamba sija mcheat tena na nilisha tubu yote
 
huh................hbu kuwa muwazi kwake mana ka mwanzo walikua wanatxt kwa evidence na ssa yawezekana
 
dada yangu hapa mie naona bora uachane nae tuu......the reason being kwamba kila leo wewe utakuwa unafanya kazi ya onyesha kuwa u not cheating na hivyo trust itakuwa issue...jambo engine kwa nini watu waendelee kukuletea usumbufu kama kweli wewe hucheat? kuna kitu ambacho wewe hutuambii hapa.
 
mmh mie sipendi mtu wa kuamini ya kuambiwa, japo hapo kwako atashtuka coz ulishamcheat mwanzo
inabidi ubadili maisha yako kwa ujumla, kuwa karibu nae muda mwingi fanya mambo yatakayomfanya
ajiulize huwa unacheat saa ngapi, jaibu kuwa unamjulisha kila mahala unapokuwa, huna jinsi ulishaliharibu
mwenyewe
 
mcheat live ili kama anakuacha na we ujue una makosa kuliko kuachwa wakati hujamcheat tena.
 
<br />
<br />
huu ni ushauri wa mwisho ambao na yeye kamchoka lakini shosti bado anahitataji matumizi kutoka kwake ndio ishu inapokuwa ngumu..
 
Tulia wewe mtoto wa kike,acha uma.laya wewe,ukimwi nje nje,tulia na wakooo,tamaaa mbaya tulia tulia mama mtu ushakaa nae miaka mi2 yanini kuangaika? au bado mtoto? mie nakushauri mtoto tulia wewe si umechagua wewe sasa mbona unaangaika! mtoto tulia wewe....
 
mambo?samahani wana jf naomba mnisaidie na hili...mie nina boyfriend wangu ambae tumekaa wote karibu 22miaka miwili..slakini katika hii miaka kumekua na na matatizo ya hapa na pale..kuna watu wamekua wakimtumia text kwamba namcheat ...wakiwa na evidence za kutosha..huku pia wakinitumia me pia kwamba lazima waniachanishe na huyu mwanaume...kiukweli nampenda boy wangu ikanbidi ni admit kwamba ni kweli nimekua nkikucheat but it was a long time..kama mwaka juzi hapo...jamaa ilimuuma na mi pia nliumia na ili tek time kunirudia..baada ya muda tukarudiana,tangu hapo sijamcheat tena na amekua akiniamini sana..suprisingly jana wameanza kumtext tena dat namcheat na ma boy mwenyewe anasema hana cha kusema mana ilishawah tokea huko nyuma na kwamba atakuja choka sasa...nifanyaje mana bado nampenda sana?

dah... ivi kwa nin mabint mwapenda kujidhalilisha... kichefuchefu.. mna mapepo gani..
 
Wanaume mnavyojua kuwahukumu wanawake! Ingekuwa ni mwanaume mwenzenu mgemuita malaya kweli; kwanza mngempongeza! Phew!
 
tangu that kipindi cjacheat tena n i want im jaman..though kakubari kuniamini tatizo linakuja kua je hao pipo wakiendelea mtell nafanyaje?and anasema namwonea but sio kweli i hav definately changed..na mbaya zaidi anaemwambia ananijua kuliko hata navojijua mwenyewe
 
Tulia wewe mtoto wa kike,acha uma.laya wewe,ukimwi nje nje,tulia na wakooo,tamaaa mbaya tulia tulia mama mtu ushakaa nae miaka mi2 yanini kuangaika? au bado mtoto? mie nakushauri mtoto tulia wewe si umechagua wewe sasa mbona unaangaika! mtoto tulia wewe....

nlitulia muda sana kaka,sema hao watu wamesha crem kwamb wali mwambia mwanzoni and ikawa kweli,but nkasamehewa,so now wanadhan watashinda tena:shatulia sana tuu n najiheshimu pia ndugu yangu
 
mmh mie sipendi mtu wa kuamini ya kuambiwa, japo hapo kwako atashtuka coz ulishamcheat mwanzo
inabidi ubadili maisha yako kwa ujumla, kuwa karibu nae muda mwingi fanya mambo yatakayomfanya
ajiulize huwa unacheat saa ngapi, jaibu kuwa unamjulisha kila mahala unapokuwa, huna jinsi ulishaliharibu
mwenyewe

ndio nachokifanya tangu mwaka juzi dada na hiyo kumcheat ilikua mwaka juzi...na tumeenda vizuri sana sasa sahiv kaingia huyo mtu wa kumwambia hizo mambo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom