Ngwamba mefani
New Member
- Aug 5, 2019
- 4
- 0
Nahtaji kufungua karakana ya magar mkoa wowote. Naomba kushauliwa ni mkoa gani ntaweza kuiendesha karakana yangu kwa kipato kizur.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wewe umejipangaje...maana kufungua garage sio mchezoNahtaji kufungua karakana ya magar mkoa wowote. Naomba kushauliwa ni mkoa gani ntaweza kuiendesha karakana yangu kwa kipato kizur.
Waliofungua waliwezajekwani wewe umejipangaje...maana kufungua garage sio mchezo
Niko vzurkwani wewe umejipangaje...maana kufungua garage sio mchezo
hongeraNiko vzur
Ushaur wako sasahongera
mzee ebu uliza swali lako ki taaluma zaidi, maana utajibiwa kitu ushangaeNahtaji kufungua karakana ya magar mkoa wowote. Naomba kushauliwa ni mkoa gani ntaweza kuiendesha karakana yangu kwa kipato kizur.
mzee ebu uliza swali lako ki taaluma zaidi, maana utajibiwa kitu ushangae
Karakana mbona unafungua tu mkoa wowote ule mkuu? Kwa sababu kila mkoa kuna watu wana magari, na hivyo ni wazi kabisa kuwa wanahitaji huduma za karakana.Nahtaji kufungua karakana ya magar mkoa wowote. Naomba kushauliwa ni mkoa gani ntaweza kuiendesha karakana yangu kwa kipato kizur.