Huu si ushauri wa namna ya kupat chuo bali ni msaada wa sehemu ambazo wa weza pata scholarships!
Jaribu kutembelea tovuti ifuatayo:
International And Local Scholarships for Africans and Developing Countries
Mtu unataka kusoma phd hata kujieleza huwezi!
ningeshangaa kama ungeandika kingine zaidi ya ulichoandika....hata barabara ya lami ina mabonde..hatukushangai..Mtu unataka kusoma phd hata kujieleza huwezi!