Cyphers Richardson
Member
- Oct 24, 2019
- 13
- 9
Sijawabagua mkuu....Ngoja agemates wako wafike ..maana umetubagua sisi wakongwe kiasi
ninafanya kazi company X ninaposambaza bidhaa zao Naweka cha juu cha kwangu.Hiyo 150 unaitengeneza kwa kufanya nini!
Sijawabagua mkuu....
Kama mdogo wenu naombeni mnisaidie Kwa Ushauri....... pia agemates mnisaidie Kwa Ushauri.........
Sijawabagua mkuu....
Kama mdogo wenu naombeni mnisaidie Kwa Ushauri....... pia agemates mnisaidie Kwa Ushauri.........
ninafanya kazi company X ninaposambaza bidhaa zao Naweka cha juu cha kwangu.
EG:B310bei ya company NI 16500 bei ya jumla me nawauzia Wahitaji 17500 ....
whole sale sitoagi receipt ๐๐๐Coz I'm just like a street vendor when I'm doing my work.... Mzigo Upo ghetto Natoka nao asubuhi Napita madukani jioni au after some days napitia cash yangu kakaAcha Wiz officer ... Kwahiyo company yenu hamtoagi receipt ?
nashukuru kaka ninafanyia kazi huu Ushauri kuanzia sasa na kuendeleaUshauri wangu ni huu
Kwa ndoto ulizo nazo (ndoto za kufanikiwa), huwezi kuzitimiza kama hutabadili tabia
Badili tabia ya kupenda anasa. Kila binadamu duniani anapenda starehe, lakini ili ufanikiwe unatakiwa ujinyime. Kama upo bachela, kwa umri wako hiyo 150,000/= inakutosha kabisa. Hiyo 150,000 ya dili save kama mtaji. Kumbuka, hela za dili huwa zina mwisho wake. Chukulia kila senti unayopokea kama hela yako ya mwisho maishani mwako
Pia, angalia marafiki ulionao. Inawezekana marafiki (akiwepo/wakiwemo mademu zako) ndio chanzo kikubwa cha matumizi makubwa uliyonayo ikiwemo kufanya starehe. Tafuta marafiki wenye kiu ya mafanikio, sio marafiki ambao mwanzo mwisho story zao, ni za mademu, story za kulewa na za kwenda klabu.
Jinsi ya ku save. Mfano pato lako kwa mwezi ni Tsh 300,000. Kila unapopata fedha, tenga kwanza kiasi ulichopanga kutunza, halafu kinachobaki ndio fanya matumizi mengine.
Tambua kwamba, mafanikio (kiuchumi) ni mentality na si kiasi cha fedha unachoingiza, ndio maana, washinda bahati nasibu wengi wanarudi kwenye umasikini. Hata uwe na uwezo wa kuingiza kipato kiasi gani, huwezi kukuza uchumi wako ukiwa na poor mentality
Nashukuru kakaMbona maisha tayari unayo,cha kufanya hapo ni kuachana na sitarehe zinazokufanya utumie pesa unazopata bila mpangilio, kiasi utakachokuwa umekusanya ndicho kitakachokuongoza mradi wa kufanya kutokana na kiwango cha pesa ambacho utakuwa umekusanya.
Nipo ninasubiri ujio wako Kwa Mara ya piliWork SMARTER, not HARDER
Nitarudi!