Ushauri: Najuta kuingia kwenye mahusiano

Ushauri: Najuta kuingia kwenye mahusiano

Polee Sanaa!! Next Time Usirudie Tabia Ya Kumwambua Mtu Yyte Kias Cha Pesa Kwenye Akaunt Yako Na Inaonekana Huyo Bunti Ulimuamin Sanaaa....Naweza Otea Hata Mama Yako Mzaz Au Baba Aujawah Mwambia Hicho Kiasi Ulichonacho Kwenye Akaunt Ila Binti Ukamwambia..Huu Ni Mojawapo Ya Udhaifu Mkubwaa Sanaaa...Na Kwa Hii Case, Unachotakiwa Sasa Ni Kuchagua 1, Pesa Au Huyo Binti!!! Kma Ni Pesa Uwe Tayar Kumpoteza Binti Na Kma Ni Binti Huwe Tayr Kuzipoteza Pesa!! Kwa Maelezo Yako Binti Muhuni So Chagua 1. Na Kingne Ukichagua Binti, Fahamu Uwezekano Ni Mkubwa Wa Binti Kuja Kukuzngua Kivingine, Kwa Hiyo Stor Kishaonyesha Yeye Ni Kimeo!!! Ulipokua Unashare Nae Mambo Ya Akaunti Yy Alikua Anazitaman Hizo Pesa.

Ahsante sana kwa ushaur wako mkuu,hakika nmefarijika sana.Mungu akubariki
 
Mkazie tu akupe pesa yako, madem hawanaga dhamana ndugu yangu' utajikakamua kutoa vipene vyako kwa lengo la kumfanya akuone una care kumbe mwenzio hana hata mpango na ww! pia hakuna ulazima wa mwanamke kujua mipango yako hao hawana maana kaka! mkazie kwa njia ya sms arudishe pesa yako

Ahsante kwa ushaur wako mzuri...hakika nafarijika sana
 
Una kiehere here,kitu gani kilichokufanya ukumbushie masuala ya hela?inaonekana roho inakuuma kumkopesha na hauamini kama atakulipa,nadhan haujui lies mapenzi ni KUJITOA kwa hali na mali kusaidiana ni sehemu ya uhusiano,ukiwa tayari kuwa na MTU lazima ujue kuna gharama,najua mwezi wa kwanza asingekulipa kama angekulipa mshukuru mungu Mpenz hakopeshwi
 
daah,nmeumia sana dada evelyn salt..yaan hapa nacho wazia ni nn hatma ya huu uhusiano.angalau hata pesa,siiwazii sana

signs are there kwamba huyo anapenda pesa zako kulko kukupenda ww........

sasa km unawaza kuhusu uhusiano basi nakushauri "AMESHAKUACHA TECHNICALLY" jiongeze
 
Last edited by a moderator:
Dogo focus na hela na ndoto ya maisha yako kuna baadhi ya mambo sio ya kushea na mpz kuna wapenzi na matapeli huyo anaonekana ana tabia ya kitapeli. Huyo sio kama kanuna ila anataka na wewe ususe hela iwe ndio imekwenda. Pesa kwa mapenzi baadae.
 
Nadhani hamkuelewana na ndo maana the lady alikasirika.
Watu wanaopendana husaidiana. Mwenzio alikua na shida ndo maana alikuomba pesa (au ulitaka amuombe nani?). Nadhani hukuwa na haja ya kuikumbushia pesa maana mwezi wa kwanza mlioahidiana haujafika. Hukutumia ustaarabu kuidai/kukumbushia pesa (depends on whose point of view) maana hujatuambia kama ulikuwa na shida nayo zaidi ya kutaka tu kuirudisha benki. Laiti ungekua na dharura unaofanya uhitaji pesa haraka,kama ugonjwa, kodi za nyumba, karo za shule etc. Mwisho Muoneshe huyo binti upendo.
 
Kipi cha muhimu kwako pesa au huyo binti? Maana ilipofikia lazima ukubali kupoteza kimojawapo
 
Chukua hela yako na komaa akupe hiyo hela, danganya toto ili usiwez mdai tena! Ukilemaa imekula kwako wala usimuambie akae nayo, anakuchezea tu ili aile vzr
 
Hakupend anazingua.... Hapokei simu yako halaf bado unampigia simu
Sijawahi kua katika viwango hivyo... Kama anazingua achana nae Fanya mambo mengine
 
Wanawake siku hizi akikuomba hela yeye ndio ishara ya kukupenda, na wewe ukimpa hela ndio ishara ya kumpenda pia.
 
Acha kumtafuta. Akikuletea pesa zipokee na uzitunze uendelee na mipango yako kama mwanzo na usimshirikishe kwa lolote katika hiyo mipango. Akiuchuna na muda mliokubaliana kuwa atalipa ukifika, mkumbushe kuilipa hiyo hela. Kama akizingua, piga chini na uendelee na mambo mengine. Kama asipoirudisha halafu pia anataka muendelee na uhusiano, mpige chini pia maana hajali mipango yako ya baadae.
 
From experience, hio hela hatorudisha na kama akirudisha, things won't be the same anymore. Vijana inabidi tujifunze kuwa na siri, no matter how much you love a woman, DON'T OPEN UP kila kitu, especially kama ni gf na sio mke. If u hv plans au una save, u don't have to tel her. Au ukishindwa basi lie... But the more u open up the more you expose yourself
Wanawake hawajaozea kukopeshwa na wapenzi wao, wao wanajua kuomba na akitaka kuomba hela kubwa ndio atakuja na hio phrase ya " bby naomba nikopeshe"
 
akikwambia umlipe utamu wa penzi lake kwa mwaka mzima utaweza?
 
Pokea mpunga huo acha kusua sua mambo mengine yatafuata baadae. Halafu acha kutoa siri zako kwa hawa madem watakutafuna mpaka tone la mwisho, kumbuka kisa cha Samsoni na Delila is up to you..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom