Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya sigara

Mbona mtaji mkubwa kabisa huo kwa hiyo biashara Mkuu
Box moja la sigara SM linauzwa 680,000. Bado sijanunua la embasy, club sport, wiston, kali. nk. Bado sijalipia frem . Kwa sehem za barabaran zilizochangamka kodi ni mpaka 150,000 kwa mwez. Na unalipia kuanzia miez 3.

Bado pia lazima nibakishe kaakiba kidogo kwa ajir ya mafuta ya pik pik. Nimepga hesabu zangu mpaka kichwa kinauma naona ni kama haitoshi. Plus mambo ya TRA na lesen ya biashara ni hatar mkuu.
 
Mkuu usianzie mbali kiasi hicho iruhusu biashara ikufikishe kwenye lengo kuu ila usianzie kwenye lengo kuu ni rahisi kuanguka.

Ila pia jaribu kuangalia namna eneo lako lilivyo ila kwa uzoefu wangu biashara za hivi zinajikuza zenyewe tena kwa fasta sana.
 
Sawa sawa kiongoz nimeelewa
 
katika biashara zinalipa kitaa ni hizi boss from street nakuhimiza anza na winston, club, safari kutegemea na location kuna sehemu SM hawanunui sana au sport na embassy, unga na iyo Kvant na Konyagi utawashika tu.
 
Box moja la sigara SM linauzwa 680,000. Bado sijanunua la embasy, club sport, wiston, kali. nk. Bado sijalipia frem . Kwa sehem za barabaran zilizochangamka kodi ni mpaka 150,000 kwa mwez. Na unalipia kuanzia miez 3.

Bado pia lazima nibakishe kaakiba kidogo kwa ajir ya mafuta ya pik pik. Nimepga hesabu zangu mpaka kichwa kinauma naona ni kama haitoshi. Plus mambo ya TRA na
Mrejesho?
 
Ongeza mtaji kidogo uuze sigara
Uza na vocha za jumla
Mtaan kwangu yupo jamaa anauza vocha tu Ila amepiga hatua kubwa
 
Back
Top Bottom