Aya mkuu, fanya ambayo itakuwaishamatunda yatanichelewesha mzee
Sina uhakika km M4 kinatosha au hakitoshi kupewa uwakala. Km hakiwezekani, ongea na ambae amepewa uwakala mkubaliane wenyewe bila kampuni kuhusikaUwakala milion nne itatosha kweri?
Kweli kabisa afanye hiyo inayomuwahisha😀Aya mkuu, fanya ambayo itakuwaisha
matunda yatanichelewesha mzee
Ushauri wako nimeupokea mkuu. Ka mtaji kakikua inabidi nijiongeze. Hayo mambo ya matunda ni biashara za kina mama.Nmecheka sana, ila hapo mkuu ongezea na pombe kali hizi za bei ndogo zilizowekwa kwenye chupa za plastic zinalipa sana uki mix na hii ya sigara
Nakuhakikishia hautachelewa kabisa
ushauri wako nimeupokea mkuu. Ka mtaji kakikua inabidi nijiongeze. Hayo mambo ya matunda ni biashara za kina mama.