Uswiss
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 842
- 2,160
Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa jumla na reja reja. Naomba kama kuna mwenye ufahamu kuhusu biashara hii anipe muongozo .
Msaada wenu wakuu kwa anaefahamu kuhusu biashara hii na changamoto zake.
Nimefikiria hii baada ya kuona watumiaji wa sigara huku mtaani tumekua wengi.
Naomba kuwasilisha.
- Box moja la sigara kiwandani linauzwa bei gani?
- Box moja la sigara kwenye maduka linauzwa bei gani?.
Msaada wenu wakuu kwa anaefahamu kuhusu biashara hii na changamoto zake.
Nimefikiria hii baada ya kuona watumiaji wa sigara huku mtaani tumekua wengi.
Naomba kuwasilisha.