Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

yani mwanamke wako anashika simu yako ila yakwake anakukatalia ??? daah sijui ww ni mwanaume wa aina gani ? in short unaendeshwa na mpenzi wako
 
Habari za Jumapili.... Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila Simu yangu akija lazma aishike na aikague kila sehemu.

Juzi alikuja wakati yupo nje ananisaidia kufua, niliingia ndani nikashika mkoba wake nikakuta kuna simu ndogo mpya ila hajawahi kuniambia kuwa ana simu ndogo niliiwasha, nikakuta haina laini ila ina sms za mapenz mfano Bby, wife, mke wangu kwa namba 3 tofauti.

Nikaizima nikairudisha kwenye mkoba na sikumwambia kama nimeona simu hiyo ndogo, baada ya muda nikatumia akili binafsi kumuuliza kuhusu sms kwa sababu sikutaka ajue kuwa nimeona simu ndogo, akaniambia kuwa hao watu wanamtongoza tu ila hajawah kulala nao na hana mpango nao.

Nikachukua zile namba alivyoondoka nikazipiga ili nijue ukweli moja ya zile namba ilikua ni namba ya Daktari ambaye wanafanya wote kazi katika hospitali moja hapo Dar, akaniambia hana yeye hana lolote linaloendelea na huyo mpenzi wangu, japo huyu mpenzi wangu alishawahi kunielezea kuhusu huyo Dkt kuwa anamtongoza.

Sasa nawaza kwanini huyu mwanamke alinificha kuhusu hiyo simu ndogo?? Na mpaka leo hajaniambia.

Je hizo chating kwenye simu nizieleweje ni kweli wanamtongoza tu au kuna namnaa hapoo??

Na kwanini hataki nishike simu yake ili hali yangu anashika muda wowote?

NB; Baada ya kumpigia yule Dkt baada ya muda mpenzi wangu alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Na tumepanga kutambulishana mwez wa 8 mwaka huu.

Ingekuwa wewe ungefanyajee?
I can feel the sound of your post Mzee baba hapa naoa unanong'ona kwa uoga.

Kitendo tu Cha kuhisi unaibiwa tayari hiyo ni ndimu kwenye maziwa fresh.

Mabaharia wakihisi hujipa muda kupata ukweli, hivi ulitarajia Daktari aseme ndio tunanyanduana kwenye nightshift?

Watu wanachat unaona baby, wife dady kwenye simu ya kificho bado unaishi kihisia.

Wanawake hutongozwa hasa kwa age uliyosema yawezakana Kila siku shida ni pale unapokuta demu wako anapo entertain wanaomtongoza hapo jua anakwenda kuliwa.

Kaka piga chini songa mbele usije ukaja shtukizwa na kadi ya send-off
 
Habari za Jumapili.... Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila Simu yangu akija lazma aishike na aikague kila sehemu.

Juzi alikuja wakati yupo nje ananisaidia kufua, niliingia ndani nikashika mkoba wake nikakuta kuna simu ndogo mpya ila hajawahi kuniambia kuwa ana simu ndogo niliiwasha, nikakuta haina laini ila ina sms za mapenz mfano Bby, wife, mke wangu kwa namba 3 tofauti.

Nikaizima nikairudisha kwenye mkoba na sikumwambia kama nimeona simu hiyo ndogo, baada ya muda nikatumia akili binafsi kumuuliza kuhusu sms kwa sababu sikutaka ajue kuwa nimeona simu ndogo, akaniambia kuwa hao watu wanamtongoza tu ila hajawah kulala nao na hana mpango nao.

Nikachukua zile namba alivyoondoka nikazipiga ili nijue ukweli moja ya zile namba ilikua ni namba ya Daktari ambaye wanafanya wote kazi katika hospitali moja hapo Dar, akaniambia hana yeye hana lolote linaloendelea na huyo mpenzi wangu, japo huyu mpenzi wangu alishawahi kunielezea kuhusu huyo Dkt kuwa anamtongoza.

Sasa nawaza kwanini huyu mwanamke alinificha kuhusu hiyo simu ndogo?? Na mpaka leo hajaniambia.

Je hizo chating kwenye simu nizieleweje ni kweli wanamtongoza tu au kuna namnaa hapoo??

Na kwanini hataki nishike simu yake ili hali yangu anashika muda wowote?

NB; Baada ya kumpigia yule Dkt baada ya muda mpenzi wangu alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Na tumepanga kutambulishana mwez wa 8 mwaka huu.

Ingekuwa wewe ungefanyajee?
(2016-2021) umechekewa sana . Huyo ni mke wa mtu.kuwa mpole
 
Mkuu achaga tabia ya kupekua simu ya mwanamke, utapata pressure itakayopelekea stroke mpaka ubaki kwenye wheel chair afu ye anaendelea kutumbua maisha. Maana kabla hujamuoa hawezi kukupa asilimia 100 ya kwamba hautamtosa, kwa hiyo wengi wao wanakuwa na backup plans ikitokea ndoa uliyo ahidi imeshindikana. Ukishaoa hao wanaume atawapunguza ama atawapotezea wote.
 
Tuanze, ulimuingiaje daktari?

Unajua kuna ile kumchana mwanaume mwenzako mpaka mwenyewe anakuambia ukweli kama anamla au la!. Kama ulienda kiupole au kiukali basi jibu lazima liwe silalani naye.

Ila ungeingia kiakili namna hii:
Mambo vipi bro? Asee huyu manzi X unamuonaje? Mimi ni demu wangu, najua na wewe unatafuna. Ila kama una malengo naye mpoteze. Kuna njemba nyingine ya pembeni inamkandamiza.. Hata mimi nilikuwa na mpango wa kuitambulisha home lakini Hapana. Tuendelee tu kuitumia kama chakula.

Au we bro unasemaje?

Angekuambia ukweli mtupu.
Haha nawaona vijana wakitembea na line hii huko mbeleni.

Mkuu....watakuja kukushukuru!
 
Carlos The Jackal saaaana mkuu, sasa leo ndo nataka nimuulize kuhusu hyo simu ndogo
michael G

Be a man,achana na malaya huyo hukumkuta bikra jua na elewa anagongwa tena sana huo muda wa kuanza kuulizana habari za simu ndogo unautoa wapi wewe achana nae hao wamejaa malorry na malorry mtaani tulia tafuta mke na uzingatie awe bikra kama hujapata bikra bora usubiri hadi utakapopata no matter kama muda utakuwa umeenda.

Zipo mada humu zimesisitizwa umuhimu wa kupata mke wako wewe peke yako vijana tusikilizeni kaka zenu acheni kuokota makopo ya vyoo vya stand na kuyabatiza jina la uchumba/mke mtazidi kuumia.
 
Wanawake hawaeleweki mkuu , Wanafalisafa wengi duniani wameshindwa kung'amua Wanawake wanataka nn kina Albert, Isac Newton na Darwin pamoja na sayansi zao wameshindwa kuelewa wanawake wanataka nn sembuse we ?

Kuna Mwanafalisafa mmoja pekee aliegundua Wanawake wanataka nn na ushahidi wake ulionekana kukubalika na watu wengi alisema "Wanawake wanataka pesa ukiwa nayo watatulia" cha kushangaza sasa baada ya Bill gate na Melinda gate kuachana huyu Mwanafalisa ameenda Chaka saiv karud Tena kufanya research Cha msing ukijua kuishi na hawa viumbe hawatakupa shida we jilie mbususu tu mengine hayakuhusu wahuni Wana msemo wao kwamba Kama pisi inatokea location fresh ukiwa na haja zako unamaliza mishe zngne cjui anatoka na Nan haina Maana
Nitajie wanafalsafa walio waelewa wanaume.
 
Happy Huna Chako braza

Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila Simu yangu akija lazma aishike na aikague kila sehemu.

Juzi alikuja wakati yupo nje ananisaidia kufua, niliingia ndani nikashika mkoba wake nikakuta kuna simu ndogo mpya ila hajawahi kuniambia kuwa ana simu ndogo niliiwasha, nikakuta haina laini ila ina sms za mapenz mfano Bby, wife, mke wangu kwa namba 3 tofauti.

Nikaizima nikairudisha kwenye mkoba na sikumwambia kama nimeona simu hiyo ndogo, baada ya muda nikatumia akili binafsi kumuuliza kuhusu sms kwa sababu sikutaka ajue kuwa nimeona simu ndogo, akaniambia kuwa hao watu wanamtongoza tu ila hajawah kulala nao na hana mpango nao.

Nikachukua zile namba alivyoondoka nikazipiga ili nijue ukweli moja ya zile namba ilikua ni namba ya Daktari ambaye wanafanya wote kazi katika hospitali moja hapo Dar, akaniambia hana yeye hana lolote linaloendelea na huyo mpenzi wangu, japo huyu mpenzi wangu alishawahi kunielezea kuhusu huyo Dkt kuwa anamtongoza.

Sasa nawaza kwanini huyu mwanamke alinificha kuhusu hiyo simu ndogo?? Na mpaka leo hajaniambia.

Je hizo chating kwenye simu nizieleweje ni kweli wanamtongoza tu au kuna namnaa hapoo??

Na kwanini hataki nishike simu yake ili hali yangu anashika muda wowote?

NB; Baada ya kumpigia yule Dkt baada ya muda mpenzi wangu alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Na tumepanga kutambulishana mwez wa 8 mwaka huu.

Ingekuwa wewe ungefanyajee?
Kaka hapo Unagongewa!!!
 
keshakwambia wewe sio rijali....unataka nini tena......rijali haangaiki na simu ya mkewe, mchumba sijui mchepuko......ukishaamini ni wako uwe mpole....sasa amua nwenyewe....mjifunzage na PUNYETO VIJANA........ina faida kwei kwei....
 
Tuanze, ulimuingiaje daktari?

Unajua kuna ile kumchana mwanaume mwenzako mpaka mwenyewe anakuambia ukweli kama anamla au la!. Kama ulienda kiupole au kiukali basi jibu lazima liwe silalani naye.

Ila ungeingia kiakili namna hii:
Mambo vipi bro? Asee huyu manzi X unamuonaje? Mimi ni demu wangu, najua na wewe unatafuna. Ila kama una malengo naye mpoteze. Kuna njemba nyingine ya pembeni inamkandamiza.. Hata mimi nilikuwa na mpango wa kuitambulisha home lakini Hapana. Tuendelee tu kuitumia kama chakula.

Au we bro unasemaje?

Angekuambia ukweli mtupu.
Asee wewe jamaa una technix ile mbaya naomba pale TISS wakuajili aseee. Unajua kufanya upelelezi.
 
mwanamke aonyeshwe awepo/asiwepo maisha yanaenda vyema huenda hata ukabarikiwa zaidi bila yeye
tunawaambia kila siku huku
ni wazi doctor anajilia chema chako bila nguvu kabisa
 
Ukiona manyoya! Ujue wameshamvua picchu STUKA! Una guberi kimbia haraka sana.
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila Simu yangu akija lazma aishike na aikague kila sehemu.

Juzi alikuja wakati yupo nje ananisaidia kufua, niliingia ndani nikashika mkoba wake nikakuta kuna simu ndogo mpya ila hajawahi kuniambia kuwa ana simu ndogo niliiwasha, nikakuta haina laini ila ina sms za mapenz mfano Bby, wife, mke wangu kwa namba 3 tofauti.

Nikaizima nikairudisha kwenye mkoba na sikumwambia kama nimeona simu hiyo ndogo, baada ya muda nikatumia akili binafsi kumuuliza kuhusu sms kwa sababu sikutaka ajue kuwa nimeona simu ndogo, akaniambia kuwa hao watu wanamtongoza tu ila hajawah kulala nao na hana mpango nao.

Nikachukua zile namba alivyoondoka nikazipiga ili nijue ukweli moja ya zile namba ilikua ni namba ya Daktari ambaye wanafanya wote kazi katika hospitali moja hapo Dar, akaniambia hana yeye hana lolote linaloendelea na huyo mpenzi wangu, japo huyu mpenzi wangu alishawahi kunielezea kuhusu huyo Dkt kuwa anamtongoza.

Sasa nawaza kwanini huyu mwanamke alinificha kuhusu hiyo simu ndogo?? Na mpaka leo hajaniambia.

Je hizo chating kwenye simu nizieleweje ni kweli wanamtongoza tu au kuna namnaa hapoo??

Na kwanini hataki nishike simu yake ili hali yangu anashika muda wowote?

NB; Baada ya kumpigia yule Dkt baada ya muda mpenzi wangu alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Na tumepanga kutambulishana mwez wa 8 mwaka huu.

Ingekuwa wewe ungefanyajee?
 
Skia man mm nikijan wamakamo sija oa bado ila changamoto km zako nazipitia sasa cmmnt zawatu wengi zasema umuache ila mim km mm nakuomba usimuache ukitaka kitu pigania mbaka uwone APA sina pakutokea at a ukimuacha uyo unaye mpata mwingine sizani km ananafu kumshinda uliye muacha LIFE IS SHORT BRO ENJOY
Acha kumpotosha mwenzako wewe,huyo ni Malaya ndio maana ana simu ya kazi (umalaya) ambayo jamaa haijui
 
Back
Top Bottom