Ushauri na ombi kwa Wizara ya Ulinzi na Usalama

Asalam aleykum wanajamii.

Moja kwa moja kwenye lengo nchi yetu pendwa ni moja kati ya nchi zinazompa Uhuru RAIA wake kuabudu dini yeyote aipendayo kikatiba.

Leo najikita zaidi kuiomba serikali na wizara husika kuwapa uhuru wa kuabudu watumishi wake.

Hapa nasimama kutoa hoja hii kama itafaa basi ifanyiwe kazi na vyombo husika, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, askari polisi, askari wa jeshi la wananchi, jeshi la zima moto, uhamiaji na jeshi la kujenga taifa.

Haya ni majeshi yanayoajiri watu wa dini zote hapa nchini na kuwapa uhuru wao wa kufanya ibada lakini kumekuwa na unyimwaji wa uhuru wa mavazi kwa waumini wa dini ya kiislamu hasa kwa waajiriwa wa kike.

Kwa mujibu wa dini ya kiislamu mwanamke anatakiwa kujistiri mwili wake popote alipo, sasa hapa kwetu mambo ni tofauti kidogo hakuna mavazi au sare katika majeshi yetu yanayompa uhuru mwajiriwa husika wa kike kujistiri.

Hivyo nashauri Wizara husika ziangalie uwezekano wa sare za kujihifadhi kwa hawa dada zetu wa kiislamu wapate angalau uwezekano wa kuficha nywele zao na mavazi yao yawe ya stara hata kama ni suruali basi ziwastiri kwa mujibu wa dini na imani yao.

Tunaweza kuangalia mifano kwa nchi zilizowapa uhuru wanawake wa kiislamu kujistiri wakiwa katika majukumu yao ya kijeshi, kwa kuwa nchi yetu haina dini basi haiwezi kuwa tatizo.

Kuna wakina dada wengi wanatamani kujiunga na majeshi yetu lakini wanaogopa kwenda kinyume na maamrisho kimavazi, zibuniwe sare ambazo zitawapa stara wakina dada wa kiislamu katika majeshi yetu ya ulinzi na usalama.

Huu ni ushauri na maoni yangu sijaleta malalamiko hapa.

Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika. Mungu mbariki Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli.
Hao Dada zako wanatamani kujiunga na majeshi sema wanasita kwa sababu ya Mavazi,kawaambie kuwa kwanza hata nafasi za kujiunga hakuna,achilia mbali woga wa kujiunga kwa Sababu ya Mavazi
 
Nafikiri uhuru huo upo katika usalama wote duniani na hakuna wa kukuzuia kuvaa kama ni hijab [emoji3191]
Katika nchi kubwa kama USA na UK ni kawaida sana likija suala la dini na imani
Kila mmoja anaruhusiwa kujistiri kupitia imani yake, hii ipo kuanzia jeshini mpaka jeshi la police
Scotland Yard waliruhusu mpaka kuvaa burka kabisa (kufunika uso wote) kwa anaetaka

Ila ilichonishangaza zaidi Sikh wanaruhusiwa kuendesha pikipiki na kilemba chao tu maana helmet hawawezi kuvaa
Kweli haki za binadamu zipo believe me [emoji23]
 
Muulize swali hili, Mwanamke akipewa silaha( bunduki full magazine( kwenda vitani kuua atakwenda au atasema kuua Ni katazo la Allah?

Mkuu kuuwa kwa kulihami taifa lako na adui inaruhusiwa kabisa
 
Mimi ni muislamu safi ila hoja yako haendani na wanawake wakisasa wa kiislamu. Mfano unataka maaskari wanawake wakiislam wapewe mavazi ya kujistiri je wao wenyewe wanapenda kujistiri na je hao maaskari unao watetea wanapokuwa nje ya kazi zao huwa wamejistiri. Angalia wanawake wengi wakiislam ndio wanaoongaza kuvaa mavazi ya uchi wengi wao sio wote ikifiks mwezi wa ramadhani tu ndio kila mmoja anaenda dukani kununua dera mtandio baibui

Wapo wanaopenda kujistiri lakini ajira zinawabana,hakuna mavazi rafiki..hata kama waislamu wanaongoza kwa kuvaa mavazi ya uchi lakini si wote na amri ya kujistiri bado iko palepale haibadiliki Abadan hata kama wakibaki wawili au mmoja,bwana muislamu safi.
 
Nafikiri uhuru huo upo katika usalama wote duniani na hakuna wa kukuzuia kuvaa kama ni hijab [emoji3191]
Katika nchi kubwa kama USA na UK ni kawaida sana likija suala la dini na imani
Kila mmoja anaruhusiwa kujistiri kupitia imani yake, hii ipo kuanzia jeshini mpaka jeshi la police
Scotland Yard waliruhusu mpaka kuvaa burka kabisa (kufunika uso wote) kwa anaetaka

Ila ilichonishangaza zaidi Sikh wanaruhusiwa kuendesha pikipiki na kilemba chao tu maana helmet hawawezi kuvaa
Kweli haki za binadamu zipo believe me [emoji23]
Na sisi tufanye kama wenzetu mkuu itapendeza sana kumpa mtu Uhuru kulingana na imani yake,kama wazungu wanaweza kwa nini sisi ambao serikali yetu inampa kila MTU Uhuru Wa kufuata imani yake tushindwe.
 
Uko sahihi. Ya kaisar mpe kaizar.
Hivyo, wanawake wa kiislam kuvaa sare za jeshi Ni sawa.
Ni sawa lakini ziwe zinampa stara na yule anaetaka kujistiri.
 
Hao Dada zako wanatamani kujiunga na majeshi sema wanasita kwa sababu ya Mavazi,kawaambie kuwa kwanza hata nafasi za kujiunga hakuna,achilia mbali woga wa kujiunga kwa Sababu ya Mavazi
Sawa,lakini kuna ubaya gani zikiwepo sare kwa ajili ya wanawake Wa kiislamu wanaotaka kuhifadhi miili yao wakiwa katika majeshi?
 
AsajizzleDaGreat,
Mkuu huo ni mtazamo wako,hayo majeshi yenyewe yanawapa Uhuru wa kuabudu na kufuata imani uitakayo,sasa hili swala ni dogo sana kurekebisha unatetea upande wako kwa sababu hali hii ya sasa inakubeba.
jeshini haki ni maslah yako tu,maswala ya mavazi (sare) ni ngum kukubaliana na mtazamo wako sabab siyo dini tu kinachohtaj haki,mkitoka kwny mavaz/sare mtakuja na ngonjera za wanawake wasiingie lindo usiku kisa mtume aliagiza watulie na waume zao kudumisha ndoa zao usiku,ili ustumikie mabwana wawili unachoshauriwa ni kuacha kuingia jeshini ukiona kuna namna utamaduni au imani yako itakuwa dragged in bad or negative ways
 
Wapo wanaopenda kujistiri lakini ajira zinawabana,hakuna mavazi rafiki..hata kama waislamu wanaongoza kwa kuvaa mavazi ya uchi lakini si wote na amri ya kujistiri bado iko palepale haibadiliki Abadan hata kama wakibaki wawili au mmoja,bwana muislamu safi.
kwa wasabato kulingana na imani yao amri ya NNE mungu aliwaamuru waikumbuke siku ya sabato na waitakase,kufanya kaz yyte siku ya sabato ni kinyume kwao,sasa kwa vile na wao ni suala la kiimani tukifanya unachokishauri utakuwa na jeshi la aina gani,au ww unadhani ni waislam tu wenye dini jeshini???
 
Lakini siku za kumpumzika ni mbili ambazo zinampa msabato muda Wa kuitukuza sabato yake.
 
jeshini haki ni maslah yako tu,maswala ya mavazi (sare) ni ngum kukubaliana na mtazamo wako sabab siyo dini tu kinachohtaj haki,mkitoka kwny mavaz/sare mtakuja na ngonjera za wanawake wasiingie lindo usiku kisa mtume aliagiza watulie na waume zao kudumisha ndoa zao usiku,ili ustumikie mabwana wawili unachoshauriwa ni kuacha kuingia jeshini ukiona kuna namna utamaduni au imani yako itakuwa dragged in bad or negative ways
Kwa hiyo maslahi ya kidini jeshini hakuna, jeshi halitambui kwamba wanajeshi wanadini?
 
Lakini siku za kumpumzika ni mbili ambazo zinampa msabato muda Wa kuitukuza sabato yake.
jeshi siyo shule kwamba ikifika jumamosi na jumapili wanafunzi wanabaki nyumbani na mwalimu anakuwa off,hizo siku ambazo unasema jeshi linapumzika ni siku zipi,jeshi linasiku yyte ambayo linakuwa off,uko serious au unaona fraha tu kuandika unachojisikia???
 
Mwanajeshi muda wote yupo kazini.
 
Hata saudi wanwqke wajeda wana vaa komba
Asalam aleykum wanajamii.

Moja kwa moja kwenye lengo nchi yetu pendwa ni moja kati ya nchi zinazompa Uhuru RAIA wake kuabudu dini yeyote aipendayo kikatiba.

Leo najikita zaidi kuiomba serikali na wizara husika kuwapa uhuru wa kuabudu watumishi wake.

Hapa nasimama kutoa hoja hii kama itafaa basi ifanyiwe kazi na vyombo husika, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, askari polisi, askari wa jeshi la wananchi, jeshi la zima moto, uhamiaji na jeshi la kujenga taifa.

Haya ni majeshi yanayoajiri watu wa dini zote hapa nchini na kuwapa uhuru wao wa kufanya ibada lakini kumekuwa na unyimwaji wa uhuru wa mavazi kwa waumini wa dini ya kiislamu hasa kwa waajiriwa wa kike.

Kwa mujibu wa dini ya kiislamu mwanamke anatakiwa kujistiri mwili wake popote alipo, sasa hapa kwetu mambo ni tofauti kidogo hakuna mavazi au sare katika majeshi yetu yanayompa uhuru mwajiriwa husika wa kike kujistiri.

Hivyo nashauri Wizara husika ziangalie uwezekano wa sare za kujihifadhi kwa hawa dada zetu wa kiislamu wapate angalau uwezekano wa kuficha nywele zao na mavazi yao yawe ya stara hata kama ni suruali basi ziwastiri kwa mujibu wa dini na imani yao.

Tunaweza kuangalia mifano kwa nchi zilizowapa uhuru wanawake wa kiislamu kujistiri wakiwa katika majukumu yao ya kijeshi, kwa kuwa nchi yetu haina dini basi haiwezi kuwa tatizo.

Kuna wakina dada wengi wanatamani kujiunga na majeshi yetu lakini wanaogopa kwenda kinyume na maamrisho kimavazi, zibuniwe sare ambazo zitawapa stara wakina dada wa kiislamu katika majeshi yetu ya ulinzi na usalama.

Huu ni ushauri na maoni yangu sijaleta malalamiko hapa.

Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika. Mungu mbariki Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli.
 
Kwa hiyo maslahi ya kidini jeshini hakuna, jeshi halitambui kwamba wanajeshi wanadini?
jeshi linatambua kuwa dini zipo na wanajeshi (askari) wake wanadini,ila jeshi halina maslahi na hizo dini,wenye maslah na hizo dini ni wanajeshi ambao ni waumini wa hizo dini,ndyo maana jeshini hakuna favour utaipata kwa sabab ya maslah ya dini au utamaduni wako,ww ndo unatakiwa uamue unapoteza dini au jeshi??
 
Mwanajeshi muda wote yupo kazini.
kama unalijua hilo vipi sasa wale ambao dini zao hazruhusu wafanye kazi yyte siku yao ya kuabudu,tukimaliza la mavazi kwa waislam tuwatetee na wao wawe wanakuwa off siku hao ya kuabudu!!?yote si ni mambo ya kiimani??
 
Back
Top Bottom