Duh natokaje kwenye huu uraibu mi mara nyingi napika nyumbaniMe hata nile kila siku sawa tu.
Halafu upishi unatofautiana nahisi kuna sehemu huku home nakulaga naona tamu kuliko kwingine kote.. Yaani nilikua Moro kule niliona hata hawajui kuitengeneza lost ya kitimoto .
Shida ni gharama.. mlo mmoja tu unatumia pesa nyingi inakua hasara.
Uji+kiti moto lazima upumulie juu juu kama njiwa mang'aNilijua kitambi ni cha uji maana nanyonyesha
Kitimoto haina shida kabisaa.Sijui kiafya ikoje siku hizi hao mbuzi naona ni hovyo
Atanenepa sana. Shida za afya zitaanzia hapo.Kitimoto haina shida kabisaa.
Wee kumbeee??A
Atanenepa sana. Shida za afya zitaanzia hapo.
Ubaya wa kiti moto ,ukila sana hauchelewi kufanana na nguruweJitahidi tu kila baada ya miezi mi3 unywe dawa za minyoo basi, ila haina shida we kula tu