Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

Isshiii,.sasa shosti maumbile ya watoto wako ww yanakunyimaje raha kwa mfano?? Na wao watapendwa hivyohivyo kama ww ulivyompenda baba yao,...ila nna wasiwasi na upendo wako kwa mumeo mtarajiwa..[emoji125][emoji125][emoji125]
hahaha anatafuta sababu huyo babe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hutaki hiyo kitu kwa watoto wako! Kwani umeongea na Mungu na amekuhakikishia mtapata watoto wa kiume na watakuwa na vibamia!?😱

Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
 
Maumbile kama hayo au???? Kama yanazid hayo olewa tuuu
IMG-20180425-WA0026.jpg
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
Hakauna guarantee kuwa atarithi kila kitu toka kwa Baba kwa sababu kuna na genes za ujombani pia. So just go ahead...
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
Ohooo.....nani kakuruhusu umchungulie? acha uzinzi. UKIMWI UNAUA
 
Kwangu sawa tu.
Kwa majibu yako basi wewe kipaumbele chako ni maumbile makubwa na si brains kwa watoto wako.
Kwa hiyo hata huyo mpenzi wako (Mume mtarajiwa) utamvumilia tu kwa sababu labda ana uchumi mzuri then hiyo mihogo utaipata toka mpango wa kando!!
 
Back
Top Bottom