Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

Nawewe naye kama Punguani yaani unapenda maumbile madogo ya mume wako mtarajiwa ila hupendi maumbile madogo kwa wanenu watarajiwa, kwani unatarajia maumbile ya wanao yakuhudumie wewe pia au? Wewe sema tu hupendi hayo maumbile!
Utadhani anataka watoto waje wamgegede..
 
Kama wewe ulivyo tosheka na wao watatosheka hivyo hivyo
 
nakushauri uchanganye na damu yangu if unataka better product
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?

Sema unapenda dushe kubwa.
 
Kama hata wewe huridhiki ila ETI kwa sababu umempenda toka moyoni. Achana nae. Ndani ya ndoa mambo hubadilika, hata huo upendo wako utapungua na atakuwa kero tu kwako. Tafuta dushe saizi yako
 
Hao watoto wenu watakuja kuomba ushauri humhum, chakufanya nyie zaenitu basi.
 
Back
Top Bottom