Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

Isshiii,.sasa shosti maumbile ya watoto wako ww yanakunyimaje raha kwa mfano?? Na wao watapendwa hivyohivyo kama ww ulivyompenda baba yao,...ila nna wasiwasi na upendo wako kwa mumeo mtarajiwa..[emoji125][emoji125][emoji125]
Yaani utafikiri anataka akiwazaa hao watoto waje kufidia kwa anavomuona baba yao ana kibamia khaah!
 
Vp maumbile yako yapoje?
Je ikitokea watoto wote wakawa wakike utakubali wawe na maumbile yako?

Kwan maumbele ya hyo jamaa ni nchi ngapi ukute wewe ndio mwenye tatizo af unamuona jamaa kibamia.

Af mada yako ina jinsia mbili alafu unataka jinsia moja ichangie!
 
Ni kama vile, nina mpenzi anataka kunioa, ila mlemavu, toka alivyozaliwa, nampenda ila naogopa watoto watakuwa walemavu!
Yaani mmevumiliana wakati wa urafiki, wakati wa kutaka mfunge ndoa ndio wajiuliza haya maswali?!
Kumbuka hakuna guarantees kwamba watoto wa kiume watakuwa na vibamia, wala hakuna guarantees kwamba watoto wa kike watakuwa na mabwawa, upendo kwanza, mengine baadaye, kwanza huyu ndio atakupa mapenzi zaidi kuliko ile mihogo unayoitaka..
Shauri yako..
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?
Unauhakika Gani kama watoto watakaozaliwa watakuwa wa Kiume au Wakizaliwa wa Kike nao waawe na Bwawa kama Lako wakiwa wadogo??? Samahani lakini nimewaza tu sana kuwa Kama ungepata bahati ya Kuona Umme wa Baba yako sijui ungejiua???
 
Ulishawahi kuona Maumbile ya Baba Yako? Je unajuta kuzaliwa na Maumbile uliyoyaona ya Baba Yako? Kaka zako Je uliona Maumbile zao? Je unawambia mawifi zako wasiolewe na Kaka yako kwa kuwa wana Maumbile Madogo? Je Uzao wenu wote ni Wakike? Na Mungu Kakulaani ukapata wa Kike tu utawatupa kwa kuwa unataka Watoto wa Kiume wenye Maumbile Makubwa? Je watoto wako unataka baadae utembee na au na kimahusiano nao kimapenzi Au unawaandalia Wanawake wanaopenda Maumbile Makubwa?
 
Wazima ?

Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.

Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.

Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?

Nawewe naye kama Punguani yaani unapenda maumbile madogo ya mume wako mtarajiwa ila hupendi maumbile madogo kwa wanenu watarajiwa, kwani unatarajia maumbile ya wanao yakuhudumie wewe pia au? Wewe sema tu hupendi hayo maumbile!
 
Back
Top Bottom