Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

Jamaniii hapa ndio mr liverpool vpn ninapomkubali japo kuna washenzi wanamponda, wewe mwanamke ni kunguru, paka shume na huyo mmeo akijua huu upumbavu wako nakuomba ujiandalie jeneza nasi tukakuambia urest in peace fala wewe.
 
Wewe hata shetani anashangaa ni jinsi gani umekuwa mwanafunzi bora hadi kumzidi mwalimu.
Kwa style hii nitabaki kuwa Principal bachelor endeverly.
 
Unaweza kuprove hao watoto ni wa huyo aliefariki kwa DNA? Kama ndio basi una fursa ya kupata kitu.

Ila along the way utapoteza kila kitu kingjne. Familia yako, jamii yako na hata watoto wako nao watabadilisha wanavyokuona.

Pima your sanity na mali (ambazo kesi kama hizi huchukua muda kusuluhishwa ila maumivu yataanza immediately ukianza kupursue hili). Ukishaona lipi linafaa zaidi basi liendee hilo.
 
Sasa hivi huyu dada ataumbuka, tamaa inawaponza sana kina dada. Hivi kwanini wanaume hawapendi kuwapima dna watoto wao?
 
Akianza hyo michakato vipi mume wa ndoa akajua ndoa itakua hatarini na ukute na mali nazo akakosa. Mimi naona atulie tu atafute namna gani atawalea watoto wake mambo ya urithi atemane nayo.
 
Nakusikitikia kisa unaubinafsi na sijui umemuonaje mumeo.
Usingeolewa basi ili uendelee kumzalia huyu tajiri wasajiliwe majina yake.

Umeolewa namtu mwingine bado unaenda kumzalia mwanaume mwingine mtoto wa kwanza na wapili na huyo mwanaume halali yupo wapi??

Aisee huna haya kabisa ndugu unahitaji maombi aisee .
Wewe ni mke wa mtu halafu umeolewa kanisani na unazini na mwanaume wa mtu ilihali unamumeo shame na bado unataka ukalianzishe. Huko.
Seriously......
Mmh! Kwa hapa ushauri upo juu ya uweza wangu ila Muombe Mungu akubadilishe wewe ni stress tena sio ndogo.
Nakama sijaelewa basii tu.
 
Shetani mwenyewe hapa anakaa pembeni kucheki utatoboaje kwenye hii game.

Keep going huenda ukatoboa.
 
Kama unataka wanao waishi kwaamani hapa duniani achana na tamaa... Tamaa yako mwenyewe itakuharibia watoto wako..

Kumbuka MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE..

fikiria kwa makini hapo nilipo andika kwa herufi kubwa.. kama huelewi omba Mungu akueleweshe utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…