Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,340
Kama bado upo Dodoma kesho njoo Gwasa pub, kuna bambucha yako. Ila punguza mdomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
😀.Eh kwahiyo wewe ni Marioo au
Nipo na Ben Paul London Boss, next time thenKama bado upo Dodoma kesho njoo Gwasa pub, kuna bambucha yako. Ila punguza mdomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekuwa hayo. Msalimie London Baby.Nipo na Ben Paul London Boss, next time then
sawa best
poa poa
kweli kabisa kwanza anakuwekea gundu la Mungu kukupa mumeo
Kabisaaa Wala c uongokweli kabisa kwanza anakuwekea gundu la Mungu kukupa mumeo
NGOJA AJIFUNGUE CARING ITAISHA!Shogaangu saa hii ana mimba ya mume wa mtu
Anasema hajali sana mwanaume ni very caring..
[emoji252] [emoji479]
NINGEKUJIBU WEWE, Ila Serikali yako inanifuatilia mbayaWengi hmu mnamlaumu hyo mwanamke lkn mm nnavyowafaham wanawake wengi walivyo waoga wa maisha kabsaaaa kapangiwa ama kujengewa nyumba,katafutiwa kazi,kanunuliwa gari, matumizi yke yote anapata haaaaaahaaaaa hata iweje hatoki ng'o semeni ukweli wanawake wengi wenu mnu mnaongea tu ili muonekane!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera km nawe ni mmoja wao!NINGEKUJIBU WEWE, Ila Serikali yako inanifuatilia mbaya
sio wote wako hivyo!
kuna baadhi yawanawake wa tanzania shida sana ....
wamegoma kutumia ubongo wao kwa asilimia 100%
matokeo yake wanatumia kwa asilimia 20% tu alafu hizi 80% zilizobaki wanatupa sisi wanaume ndio tuzitumie kwa niaba yao
yaani inshort wametupa power of attoney ya asilimia 80% ya ubongo wao
kama huyo hapo unayemsemea siyo kwamba akili hana ila tu amekubali kukabidhi akili zake kwa mume wa mtu matokeo yake maamuzi makubwa ya maisha yake yanafanywa na mume wa mtu
anashindwa hata kujiongeza kuwa hapo hakuna ndoa wala nini zaidi ya yeye kuwa kachumbari kwenye ndoa ya jamaa au kwa lugha nyingine yeye ni desert inayoliwa kabla ya mlo mkuu 😂😂😂
Money Penny[/USE asee[/Q
[QUOTE="Money Penny, post: 28178672, member: 371399"]Nilikutana na rafkiangu wa Primary, hukjooo Morena Hotel
Tukawa tunafanya catch up tangu Primary mpaka leo!
Nikagundua shogangu bado hajaolewa na bado ana akili kama chiu!
Primary School Friend: Best nakuona kwa mitandao, whatsapp, facebook, blog yako, instagrams, damn girl una instagram ngapi?!
Alafu sikuizi unaitwa Money Stars, hataree mimi nimekuzoea jina la ….?
Money Penny: hahahahha niacheeeee! Na wewe? Hubby na watoto hawajambo?
Primary School Friend: Sijaolewa best nipo tu
Money Penny: awkay, shemeji hajambo lkn?
Primary School Friend: Sina shemeji kama unavyodhani, nipo na mtu..
Money Penny: Mtu hajambo?
Primary School Friend: nadhani hajambo, sijaonana nae nina wiki 3
Money Penny: oh kwanini? Mmegombana?
Primary School Friend: Ameoa
Money Penny: ha?
Primary School Friend: It’s complicated! Lakini wamegombana na mkewake, ndoa yao haipo vizuri kivile wanataka kupeana talaka ila bado hawajapeana
Money Penny: Mume wa mtu umekuwa nae kwa muda gani ?
Primary School Friend: Miaka 3
Money Penny: Na amekuahidi ndoa?
Primary School Friend: Ndio lakini bado anafanya process ya talaka.
Money Penny: Miaka 3 ana process talaka?
Primary School Friend: I know right? Najua ni muda sasa ndio maana nagombana nae kila siku..
Money Penny: Mami una umri gani?
Primary School Friend: Nina 33
Money Penny: Huna bwana mwingine?
Primary School Friend: Sina, huyo ndio kila kitu kwangu, amenipangia nyumba, kaninunulia gari, kanitafutia kazi, naanzaje sasa kumsaliti na kumuacha?
Money Penny: ok kwahiyo wewe unatakaje au unataka kumzalia hupendi kuolewa au?!
Primary School Friend: siwezi kumzalia mpaka anioe! Kuolewa nataka sana. Nishauri unaonaje mami?
Money Penny: okay! Unataka nikushauri?
Primary School Friend: ndio best
Money Penny: Best ukinichukia sawa tu lakini Mume wa mtu ni Mume wa mtu, haijalishi wanagombana na mkewe au hawagombani, haijalishi kakununulia Mbingu au Dunia, haijalishi atampa mkewe talaka au la, haijalishi unambinukiaje kitandani au unampaje mechi za kichokoraa na mkewe hampi bado ni mume wa mtu
Tuchukulie mfano huyu mume wa mtu ndio mume wako, alafu ana mwanamke nje kamfanyia yote aliokufanyia wewe, na una watoto wanasoma kayumba, haachi hela ya msosi, ada, unapanda daladala na kimada amenunuliwa BMW, hujui misingi ya ndoa yao ilianzishwa kama ni kwa Mungu au shetani hujui! Utajuaje kama wewe sio Msukule wa huyo jamaa!? Maana sikuhizi vijana wengi wamejiunga free mason kupata pesa chap chap!
Primary School Friend: God forbid!
Money Penny: God hawezi kukusaidia hapo, huyo mwanaume anakupotezea muda, achana nae na umri wako unaenda, sawa kakuchuja ujana wako lakini malipo yako ni nyumba, gari, kazi na safari nyingi za ulaya kama ulivyosema, plz tafuta bwana mwingine usonge mbele hapo unapiga mark-time tu best unang’ang’ana na mwanaume alieshikilia hatima yako wa nini?
Primary School Friend: Kweli, lakini nampenda sana jamani sijui naondokaje?!
Money Penny: Uende kwa Kanisa wakakuombee kwanza, utashangaa Mungu atakutendea muujiza utaondoka mwenyewe bila yeye kukufukuza!
Nikamwangalia huyu shoga anajiuma uma kwenye mawazo nikaona huyu mbululaz wa mwisho, huenda kapuliziwa dawa!
Wadada naombeni tuwe wa kweli wa nafsi zetu tusipende kujifunga funga na kujifariji, tena hawa wwanaume wenye ndoa za Kikristo kuacha mke ni ngumu sanaaa, talaka ngumu jamaa – talaka maanake pasu kwa pasu ya mali na watoto hamna mwanaume anaetaka ku-rist hayo labda umloge!
Bora wale nduguzetu wanaooa wake 4 kidogo unaweza jipa matumaini ingawa nako pagumu!
Eti mimi nikavae Juba! Ahahahahha na umini akavae nini? Orijino Indian Hair avae nani? Gucci avae nani? Levi avae nani? Christian louboutin shoes avae nani?
Nyie mademu wa kiTanzania mnahitaji ku-chill, sijui ni trendy au wanajazana ujinga sijaelewa! Vitu vipo Obvious lakini watu wamo tu!
Akyanani, acha aendelee kutunyoosha tu wengine wamegoma kubadilika![/QUOTE]
Dunia nzima inakadiliwa kua na watu bilioni 10 wanawake pekeyao wapo bilioni 7 wanaume wako bilioni 3 sasa ukiangalia hapo utaona uwiano wa mme mmoja anatakiwa kuoa wanawake 2 na mchepuko kidogo sasa ww unamshauli mwenzio achane na mtu wanaeelewana nakujaliana aende kwa akinamario ambao pia co waoaji pia ni watu wakupeana stress tuu akatafute wakwake wapi na umri ndo huo kwamwana mke miaka 33 huwezi kupata mme wa pekeeyake hana sifa huyo ni mzee kwasaivi.angalizo co vzr kuingilia ndoa za watu w ulikuepo wanavotongozana waliongea nn acha kabisa hiyo tabia
nashukuru