Ushauri: Mume wa mtu ni mume wa mtu; keep out!

Ushauri: Mume wa mtu ni mume wa mtu; keep out!

Nina iman huo ushauri uliompa uliuacha hapo hapo Morena Hotel, wadada wadangaji nani akatae gari! hiiiiiiiiiiii, hafu kama sikosei hata kukupigia simu hakupigii siku hizi.
But ulikuwa ushauri muruaaaaaaa sana uliompa huyo basha wake hana nia ya kumuoa, coz anataka status ataendela kugegedwa kama mchepuko atashtuka anafikia 40yrs hapo ndo akili itamkaa sawiaa.
God Forbid
40 yrs is not her Portion
 
watakuelewa lakini..????..ungemshauri angalau ajizalie katoto.....maana huyo best yako hana hata dalili za kuchomoka.....
Ila ni kuwakumbusha ni vema
 
watakuelewa lakini..????..ungemshauri angalau ajizalie katoto.....maana huyo best yako hana hata dalili za kuchomoka.....
Ila ni kuwakumbusha ni vema
hahahahah hawa watoto hawasikii, watoto wa miaka ya 90 sheedah
 
Wanaume ni wachache kuliko wanawake.
Endeleeni kufarijiana.
Huyo rafiki yako azae tu watoto aachane na mawazo ya kummiliki huyo mume wa mwenzie. Akubaliane na kushare tu.
Mpaka akatafute huyo wa kwake atakuwa kashazeeka na hampati Tena.
Tuliopo ni sisi sisi waume za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom