Ushauri muhimu kwa Mo Dewji

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mheshimiwa Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu

Nakuomba uchukue muda wako kupitia vyombo vya habari na media, forums, na publications mbali mbali zinazoongelea kupotea kwako, najua waliokuwa wamekuteka hawakukupa simu kulogin tweeter, fb au hapa JF kwa akaunt yako ile,

1. Usimwamini mtu
2. Urafiki na masikini mwenye madaraka ni wa mashaka kidogo, mnaweza enda wote gym mkalishana keki kwenye birthday, na mkawa mnasapoti club moja lakin kwa tamaa zake akakufanyia mabaya,

3. Mkuu Dewj ongeza ulinzi kwako maana kama waliokuwa wamekuteka wanaweza kuona movie imechezwa vibaya au imebuma wakakumaliza kabisa,

4. Saport yako kwa watu ni kubwa lakin kuna wanaosema hujawahi kuwapa pole waliokuwa wanapotezwa, hivo nashauri kuwa active sana katika masuala hayo na kuonekana umesguswa na majanga saa nyingine kusaidia kabisa, mfano kutoa bilion moja kwa atakayegundua ben saanane alipo,

5. Usiwe unatembea mwenyewe wewe ni tajiri mkubwa mno, usimuache dereva hata siku moja,

6. Usikimbilie kuongea na vyombo vya habari bora ukakaa kimya kwa muda mpaka psychologicaly utakavyopona

Britannica
 
Mheshimiwa mbunge Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu

Mo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
 
Mi siyo CHADEMA na sijawahi kuwa CHADEMA, yaan nitake radhi kwanza
 
Mo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
Then Pesa za Sabodo muulize mwenyekiti wao mbowe si mimi hayanihusu
 
Mheshimiwa mbunge Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu

Nakuomba uchukue muda wako kupitia vyombo vya habari na media, forums, na publications mbali mbali zinazoongelea kupotea kwako, najua waliokuwa wamekuteka hawakukupa simu kulogin tweeter, fb au hapa JF kwa akaunt yako ile,

1. Usimwamini mtu
2. Urafiki na masikini mwenye madaraka ni wa mashaka kidogo, mnaweza enda wote gym mkalishana keki kwenye birthday, na mkawa mnasapoti club moja lakin kwa tamaa zake akakufanyia mabaya,

3. Mkuu Dewj ongeza ulinzi kwako maana kama waliokuwa wamekuteka wanaweza kuona movie imechezwa vibaya au imebuma wakakumaliza kabisa,

4. Saport yako kwa watu ni kubwa lakin kuna wanaosema hujawahi kuwapa pole waliokuwa wanapotezwa, hivo nashauri kuwa active sana katika masuala hayo na kuonekana umesguswa na majanga saa nyingine kusaidia kabisa, mfano kutoa bilion moja kwa atakayegundua ben saanane alipo,

5. Usiwe unatembea mwenyewe wewe ni tajiri mkubwa mno, usimuache dereva hata siku moja,

6. Usikimbilie kuongea na vyombo vya habari bora ukakaa kimya kwa muda mpaka psychologicaly utakavyopona

Britannica
Kumbe comrade Mo bdo ni Mbunge/????!!!!
 
Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri

Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo

Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba
 
Mheshimiwa Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu

Nakuomba uchukue muda wako kupitia vyombo vya habari na media, forums, na publications mbali mbali zinazoongelea kupotea kwako, najua waliokuwa wamekuteka hawakukupa simu kulogin tweeter, fb au hapa JF kwa akaunt yako ile,

1. Usimwamini mtu
2. Urafiki na masikini mwenye madaraka ni wa mashaka kidogo, mnaweza enda wote gym mkalishana keki kwenye birthday, na mkawa mnasapoti club moja lakin kwa tamaa zake akakufanyia mabaya,

3. Mkuu Dewj ongeza ulinzi kwako maana kama waliokuwa wamekuteka wanaweza kuona movie imechezwa vibaya au imebuma wakakumaliza kabisa,

4. Saport yako kwa watu ni kubwa lakin kuna wanaosema hujawahi kuwapa pole waliokuwa wanapotezwa, hivo nashauri kuwa active sana katika masuala hayo na kuonekana umesguswa na majanga saa nyingine kusaidia kabisa, mfano kutoa bilion moja kwa atakayegundua ben saanane alipo,

5. Usiwe unatembea mwenyewe wewe ni tajiri mkubwa mno, usimuache dereva hata siku moja,

6. Usikimbilie kuongea na vyombo vya habari bora ukakaa kimya kwa muda mpaka psychologicaly utakavyopona

Britannica
Mkuu unafaidika vipi na kutekwa kwa Mo? hata Salary Slip na Erythrocyte hawajakomalia hii ishu kama wewe. Ni wazi kupatikana kwake umekwazika sana.
 
Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri

Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo

Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba

Umesomeka mkuu,ila masikini ana nafasi katika ustawi wa tajiri haikwepeki kumtumia si wa kumpuuza,mfano dereva wa tajiri au mlinzi wa nyumbani wana umuhimu refer issue ya Lissu na dereva wake,kwa hiyo MO shauri yako ukidharau ushauri wa wadau
 
Back
Top Bottom