Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
wala usimblock,watu kama hao akikutukana usimjibu piga kimya,akipiga simu hupokei,ukikaa bila kujibu matusi yake itamwuma sanaHakukuwa na matusi wakati wa mahusiano yet, hii ni baada ya kuachana

Dah mkuu pole sana...sina experience na hayo!