Huu ndio ushahidi wa matusi yake, na hii ni leo asubuhi.
Ukijuta then kiri na uweke wazi feelings zako . . . . . . .matusi ya nini sasa kama ana hasira mbona havui cheni akakata kata na kutupa. . . . . . . .Kama mshajua weakness za wanawake ndo muwachukulie kama walivyo!Wakati mwengine baadhi ya vitu mtu anaongea kwa hasira tu akili zikimrudia ni full majuto!
Huyo jamaa kuna kitu anaficha!!Ukijuta then kiri na uweke wazi feelings zako . . . . . . .matusi ya nini sasa kama ana hasira mbona havui cheni akakata kata na kutupa. . . . . . . .
Huyo jamaa kuna kitu anaficha!!
Sijasema ni sawa anavyotukana huyo dada mimi sichukui upande wowote lakini ukiangalia kwa umakini kuna kitu hakipo sawa!!Hata mimi ninao ex zangu lkn sipiti nikatukanana na yoyote.Narudia tena kuna kitu hakipo sawa.Na kama mtu wameachana anamsumbua na matusi juu kwanini anamuweka hata kwenye hio sim yake na kujibizana nae??Hao nishasema wanapendana na wanatakana.Real quick, sio muda mrefu mrefu sana umepita, uliwahi kuanzisha threads humu ukiwakumbusha wanawake wenzio kujiheshimu ili waheshimike, carry themselves with class and what not. Nilikupa nyota zangu nyingi sana 4 such wisdom. Ila hapa naona unaenda tofauti na yale uliyoyaandika kwa kumtetea huyo dada, haijalishi jamaa anaficha nini.
Mie x wangu nikimpa matusi kama hayo nahisi tutagawana majengo ya serikali.... mimi hospital yeye jela
Ha ha ha hahahahaa Ximena wewe ni chizi unajua hahahahaaa, loh ndiyo nini kunivunja mbavu hivi... Nimecheka sana...
Huu ndio ushahidi wa matusi yake, na hii ni leo asubuhi.
Sijasema ni sawa anavyotukana huyo dada mimi sichukui upande wowote lakini ukiangalia kwa umakini kuna kitu hakipo sawa!!Hata mimi ninao ex zangu lkn sipiti nikatukanana na yoyote.Narudia tena kuna kitu hakipo sawa.Na kama mtu wameachana anamsumbua na matusi juu kwanini anamuweka hata kwenye hio sim yake na kujibizana nae??Hao nishasema wanapendana na wanatakana.
Mblock naa umfute rafiki usijipe headache its very simple!!Ndio maana hata namba yake sijai save, anasumbua sana
kuachana kiroho safi ndo nini?
Huu ndio ushahidi wa matusi yake, na hii ni leo asubuhi.
Huyu demu kama namjua na nishawah kupiga huyu??