Ushauri: Msichana wangu wa zamani ananitukana

Ushauri: Msichana wangu wa zamani ananitukana

Mliachana kwaajili gani?ulimtenda?She wants you to apologize and redeem yourself!!

IF this is what she wants ...cant she be more honest and more civilized ?

wanawake wenye kujifanya 'hawakutaki' huku they are dying to be with you..wanaboa mno
 
Huu ndio ushahidi wa matusi yake, na hii ni leo asubuhi.
Issue kama hizi haujibu mzee, unakausha tu. Hata usim-block, utampa ushindi. Unless unamtaka bado.

Nina issue kama yako mwaka sasa hivi. Anatukana, navunga, anaomba msamaha, navunga, mzunguko unajirudia. Akipumzika ni miezi miwili, anarudi.
 
Anasumbua sana akipiga simu ni matusi tu, malaya wewe, niachane nae kwa kutomjibu chochote au dawa ya moto ni moto? Ila sasa yule mwanamke nikisema nianze malumbano nae ntaonekana fa** japo matusi yake yanakera
 
IF this is what she wants ...cant she be more honest and more civilized ?

wanawake wenye kujifanya 'hawakutaki' huku they are dying to be with you..wanaboa mno
The Boss si watu wote ni wenye hekima na busara...na guts za kumfata mtu na kumwambia nakutaka!!Kumbuka "woman's pride"....Na wanaume jamani wakavu anajijua kabisa aloyayafanya si sawa na mtu anajikausha ka sio yeye dah!!!
 
Last edited by a moderator:
Piga Kimya mkuu..

Usijibu chochote, Akipiga pokes akitukana iache pembeni simu endelea na mambo yako
 
Anasumbua sana akipiga simu ni matusi tu, malaya wewe, niachane nae kwa kutomjibu chochote au dawa ya moto ni moto? Ila sasa yule mwanamke nikisema nianze malumbano nae ntaonekana fa** japo matusi yake yanakera
Siku zote maneno yanayokukera ni ya kweli man, ukijibizana nae mnakuwa hamna tofauti. Matusi tu yanakupagawisha? Mi anamtokea mpaka mdogo wangu ili kunipanikisha, chalii akiwa likizo ananirushia screenshots, ila hainisumbui.
 
Keep silence, kama una bustani ya mboga kaipalilie ...kwa kuwa simu yako ni smartphone bas download kitabu cha mis education of the negro uanze kukisoma
 
The Boss si watu wote ni wenye hekima na busara...na guts za kumfata mtu na kumwambia nakutaka!!Kumbuka "woman's pride"....Na wanaume jamani wakavu anajijua kabisa aloyayafanya si sawa na mtu anajikausha ka sio yeye dah!!!

Sio ukavu wanaume tunapenda kuamini unachokisema
shida ni wanawake wengi wanachoongea na wanachomaanisha ni vitu viwili tofauti
ukishamwambia mtu 'we are done'
wengine wanaona 'ok' ngoja ni move on...
 
Sio ukavu wanaume tunapenda kuamini unachokisema
shida ni wanawake wengi wanachoongea na wanachomaanisha ni vitu viwili tofauti
ukishamwambia mtu 'we are done'
wengine wanaona 'ok' ngoja ni move on...

Kama mshajua weakness za wanawake ndo muwachukulie kama walivyo!Wakati mwengine baadhi ya vitu mtu anaongea kwa hasira tu akili zikimrudia ni full majuto!
 
Utajibeba mwaka huu umemchezea binti wa watu umeitumia K yake mpaka umeichoka huku ukimpa ahadi kemkem eti ntakuoa!!
We sasa piga kimya tu. Hapa bado hatujasikiliza upande wa pili.
 
Mie x wangu nikimpa matusi kama hayo nahisi tutagawana majengo ya serikali.... mimi hospital yeye jela
 
Anasumbua sana akipiga simu ni matusi tu, malaya wewe, niachane nae kwa kutomjibu chochote au dawa ya moto ni moto? Ila sasa yule mwanamke nikisema nianze malumbano nae ntaonekana fa** japo matusi yake yanakera

Endelea kupiga free p tu itafika mahali anaona anatumika bila service na taa ya check engine inawaka ataondoka bila kuaga
 
Back
Top Bottom