Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,062
Wakuu heshima kwenu, leo mchana mda wa lunch time, nlikuwa na mazungumzo na moja kati ya rafiki zangu wa karibu, anajambo ambalo alidhamiria kuliweka moyoni lakini kakosa uvumilivu kaona bora anishirikishe,
Ni kuwa siku ya Jumatatu katika pita pita zake mitaa ya sinza "KAKUTANA USO KWA USO NA SHEMEJI YAKE AKITOKA GUEST NA MSELA"
mume wa huyo dada ni rafiki yetu wa karibu saana, ndon kwanza mwaka moja tangu waanze kuishi wote, mwanamke alishtuka saana, maana jamaa alipomuona wakasalimiana lakini shemeji alionekana wazi kutetemeka na kuona aibu maana huyo jamaa waliyetoka nae guest alikuwa pembeni,
baada ya fumanizi hilo shemeji amempigia simu kumuomba samahani asimwambie mume wake, pamoja na kumtumia sms lakini jamaa hajamjibu chochote kuwa hatasema au atasema.
sasa jamaa anacho uliza ni kuwa
je amwambie mshikaji?
au akae kimya aache mshikaji akifa? au afanye nini?
ushauri jamani, mimi nimeshindwa ni mshauri nini maana anaweza kumwambia jamaa alafu yeye ndo akaonekana mbea, nategemea hamta niangusha wadau wa jamvi hili