makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Chuo kikuu Gani mwezi huu wa 4?Ndg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas nitaibiwa.
JE KUNA UMUHIMU WA KUTAFUTA DEMU MWINGINE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinaitwaje Hiko chuo!