Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,655
- 112,566
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiongozi.Ebu mshaurini kuhusu dem...[emoji13] [emoji13]
Ndg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas nitaibiwa.
JE KUNA UMUHIMU WA KUTAFUTA DEMU MWINGINE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda oyeeeee......[emoji13] [emoji13] [emoji13]Duh!!!
Nenda nae ukamsaidie kusoma.
Asante kwa maneno kuntu[emoji23][emoji23] bro you are a virgin indeed! 27 years demu mmoja are you okay? ... [emoji23][emoji23] kweli we mwaminifu ...
Demu wako ulimkutaje? Bikra kama wewe au alikua keshadunyuliwa? Na je kwa kumwangalia tangu umekuwa nae msimamo wake kwako ukoje? Maana wa kuchepuka atamjua tu
Ndg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas nitaibiwa.
JE KUNA UMUHIMU WA KUTAFUTA DEMU MWINGINE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni wakuchapa bakora ili akili imkae sawaKiongozi.
Mdau kama huyu utamshauri nini sasa!
Inashangaza!
Tena vioo vya magari tinted vimekubaliwa.. Ategemee demu wake kugongwa kwenye Noah..! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo hesabu huna demu tena kama kaja hapa mji wa bashite ndo kabisaaa mtoe kichwani mwako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nenda chekecheaNdg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas nitaibiwa.
JE KUNA UMUHIMU WA KUTAFUTA DEMU MWINGINE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeisha hiyoNdg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas nitaibiwa.
JE KUNA UMUHIMU WA KUTAFUTA DEMU MWINGINE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha idioUza kibanda chako huko kijijini ukanunuwe shamba pale posta uwe unalima ili upate chance ya kuonana nae
great thinker
Ushamuoa?Ndg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas nitaibiwa.
JE KUNA UMUHIMU WA KUTAFUTA DEMU MWINGINE?
Sent using Jamii Forums mobile app