Ushauri: Mpenzi wangu amempa mimba msichana mwingine

Ushauri: Mpenzi wangu amempa mimba msichana mwingine

Ni kweli unayosema ndugu yangu ila nimefikia kusema haya kwa vile mwanaume mwenyewe bado ameshikilia msimamo wake uleule kuwa hamtaki na aondoke kwake nami najitahid kumtuliza ili amuondoe taratibu....
Hataaa akiondokaa sio kwamba ndo watakuwa wameachanaa anadamu yake tayari
 
Watu wanafikra potofu na wanaume... wanaume waovu wapo lkn sio wote, so wewe kama unajiona hivo sivo wote tulivo. Binti kaa namwenzako muyaweke sawa kikubwa wewe umejiridhisha pasi na shaka kuwa mwenzako anajuta; msaidie kuwa karibu nae na umpe ushauri mzur asifanye maamuz ya hovyo. Inauma uje et uishi na mtu ambaye hujatarajia. Take care!
 
Majuto ni mjukuu... hakuna kulazimishana kwenye kuvuana nguo, kutenda mpaka mimba inaingia... wote wawili walidhamiria kwa makubaliano yao bila kushawishiwa na chochote... Sema mimba ndiyo imewaweka wazi...

Mimi nashauri tu, akuche wewe aende kwa huyo aliyempa mimba ili waanzishe maisha...


pole sana...


cc: mahondaw
 
Mhandisi gani mjinga huyo analia lia , eti anakunywa pombe tu... Fungua akili wewe unaliwa hapo...
 
Majuto ni mjukuu... hakuna kulazimishana kwenye kuvuana nguo, kutenda mpaka mimba inaingia... wote wawili walidhamiria kwa makubaliano yao bila kushawishiwa na chochote... Sema mimba ndiyo imewaweka wazi...

Mimi nashauri tu, akuche wewe aende kwa huyo aliyempa mimba ili waanzishe maisha...


pole sana...


cc: mahondaw

Mambo mengine ni magumu sana yasikie tu kwa jirani
Yani mtu hivihiviiii unaona ndege wako anapeperuka dahhhhhhhhhhh inauma sana
 
Sasa yule mwanamke mwingine mnataka aende wapi kumbuka huyo jamaa atakuoa na mtazaa mtoto wa kike ipo siku mwanao atakwambia amefukuzwa na mimba juu
 
Nyumba ni yake,lakini ameondoka amemuacha huyo mdada mwengine,mwanamme wa Ki Tanzania huyo alofanya hayo au wa taifa jengine? na huyo mwanamke wa one night stand na mimba juu ni mwanafunzi au mtu na shughuli zake? na wewe huyo jamaa ndio bwana wako wa kwanza au?
 
Njoo PM tuzungumze vuzuri...nnatafuta mchumba
 
Tatizo hamtaki huyo mwanamke ni tamaa tu ilitokea ndo malipo yake haya...yaan najitahid kwanza arudie katika hali yake ya kawaida maan bado akili zake hazifanyi kazi
Una moyo atakaekuoa ana bahati.....
Ningekua mie ningemuacha anywe pombe hadi afe.
Endelea kumbembeleza labda ndo ubavu wako huo
 
Samehe saba mara sabini, amekosea mkemee angalieni future yenu sema ukaze na ww usiwe legelege
 
Nik
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa.

Kiujumla mimi ni Ke, nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa tunamipango mizuri tu hapo baadae ya kuja kuishi kama mume na mke kwa kufuata taratibu stahiki ila mwezi January 2017 kuna meseji za binti mmoja hivi niliona amemtumia meseji mwanaume wangu, kama kuna kitu linaendelea kati yao mimi nikapuuzia kwa wakati ule ila nilikuja kumuuliza kuhusu huyo binti baada ya muda kama mwezi kupita akasema walisoma nae chuo na mambo kadhaa mimi nikaelewa nikapotezea.

Sasa kilichosababisha nikaandika haya ni kuwa Jumapili ya Pasaka tulipanga kwenda Cinema century hivyo nilitakiwa niwe kule kwa mpenzi wangu kuanzia Jumamosi until Jumatatu kwa ajili ya sikukuu ila hali ilikuwa kwan yote tuliyopanga kuhusu Pasaka yamekuwa ndivyo sivyo kwa sababu kumbe yule binti ambaye niliona txt zake amemtumia mpenzi wangu alikuja kutembea na mwanaume wangu na akapata mimba.

Hivyo navyoandika hapa mwanamke yule amekuja hom kwa mwanaume wangu kuanzia alhamis kuu mpaka sasa yupo na amegoma kuondoka mpenzi wangu ameondoka home kwake kuanzia Jumapili ya pasaka mpaka sasa ni kulala gesti anakunywa pombe (alikuwa hatumii kilevi) mpenzi wangu aliniita na kunieleza ukweli wote na analia sana na ameshamuambia huyo mwanamke kuwa ampendi yeye huyo binti ndo alimlazimisha atembee nae siku hiyo moja.

Hivyo jana tumekaa na mpenzi wangu tukashauriana kuwa ajifanye kupretend kwa yule mwanamke kuwa wanataka waende kwa kina mwanamke wakaongee hayo masuala then akimtoa pale mimi niende kuchukua nguo zote za mpenzi wangu na vitu vya muhimu then nifunge nyumba aje tukae kwangu pamoja kwa ajili ya kufikiria nini cha kufanya na Leo kuna mtu tumemtumia ili ampeleke yule mwanamke hospital akapige ultrasound ili ijulikane ni mimba ya miezi mingapi kwa sababu alidate nae mwezi wa kwanza mwishoni coz huyu binti anasema Mara mimba ya miezi miwili Mara miezi mitatu, Mara niliona siku zangu mwezi wa pili na kumbuka walidate siku moja tu na ni mwezi wa kwanza mwanzoni, kesho natumai kuonana na mpenzi wangu tena kuongelea kuhusu hiyo ultrasound imeonyesha nini.

Mpenzi wangu anakunywa tu pombe yaani anajuta na kulia tu.
Mpenzi wangu yeye ni mhandisi ila mimi nipo ofisi za watu binafsi.
Wana jamvi naombeni mnishauri kitu zaidi ya haya niliyosema naweza nikapata mwanga zaidi, mpenzi wangu bado ananihitaji ndio maana ameamua kunishirikisha.
Niko kwenye hii situation Sasahivi. Ila wewe umezidi kumwamini mwanaume. Yaani una muamini Mwanaume??? Una kichaa?
 
Back
Top Bottom