Sasa kama ni tamaa tu, tafuta watu wazima kisha hao wazee wawakutanishe wote watatu ili akili mbele yenu kuwa nani anamtaka na huyu mjamzito atamleaje.
Usije kukuta naye hajui ampende nani, na kupelekea kila anayeonana nae anamwambia ni wewe tu. Kama ulivyomshauri ku pretend basi mshauri waendelee na mwisho waoane kabisa.
Shida inayokuja hapa ni kama mtu anayeitisha uchaguzi na mshindi anaye, namaanisha kuwa wewe unaomba ushauri huku ukiwa na majibu kuwa by any means humwachi jamaa. Sasa hapo unatuona kama tunapuyanga tu. Ila kama huna majibu basi achana nae taratibu na ukimpata mwingine ndio umwache rasmi