Ushauri: Mpenzi wangu amempa mimba msichana mwingine

wanaokushauri kupiga chini huyo guy mi siwswlewi, tunajua ndio hakulazimishwa bali na mwanaume yeyote ambaye bado hajaoa ila ana mpenzi tu, binti yeyote akijipitishapitisha bila formula huwa ni kupitia, so si kosa lake.

We mdada unajua ni kiasi gani huyo mwanaume wako alivyo, so subiri majibu ya vipimo, na hata kama ilionesha ndio mimna ni yake, msipanic, kama hampendi kweli hatamuoa na atamuondoa tu home kama mwanaume, yeye ndio anamaamuzi, mimba anaweza akaitunza tu na mtoto akalea, ila kusiwe na ndoa..
Wewe kama umampenda huyo mwamaume wako basi kubaliana na yaliyowafika, na ujasiri unahitajika, usije ukamwacha ukaja kujutia
Umesema vema mkuu
 
Mkuu nikupe ushauri huyo jamaa usimwache ila huyo mtoto mtarajiwa amuhudumie ni damu yake. Akimkataa wakati kweli ni wake mtapata laana. Huyo jamaa anakupenda kweli na amejifunza ndio maana kapagawa. Sasa mwambie asiwe chapombe ataharibu kila kitu, hayo maji makali atuachie wadau wazoefu. Kumbuka takwimu siku hizi zinaonesha wanaume wa kuoa au kuwa mpenzi wa kudumu ni bidhaa adimu. Kanuni ya Demand and supply uizingatie. Ukimwacha huyo inaweza kukugharimu kumpata mwingine tena alie bora zaidi yake.
Umenena vyema sana mkuu
 
Wahandisi hatufanyi mambo ya hivo huyo labda atakuwa mwandishi
 
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa...
Kiujumla Mimi ni Ke.... Nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa tunamipango mizuri tu hapo baadae ya kuja kuishi kama mume na mke kwa kufuata taratibu stahiki...ila mwezi Jan...2017 kuna meseji za binti mmoja hivi niliona amemtumia meseji mwanaume wangu kama kuna kitu linaendelea kati Yao...Mimi nikapuuzia ikwa wakati ule,ila nilikuja kumuuliza kuhusu huyo binti baada ya muda kama mwezi kupita akasema walisoma nae chuo na mambo kadhaa..Mimi nikaelewa nikapotezea...SASA kilichosababisha nikaandika haya ni kuwa jumapili ya pasaka tulipanga kwenda Cinema century hivyo nilitakiwa niwe kule kwa mpz wangu kuanzia jumamosi untl jumatatu kwa ajili ya sikukuu...ila hali ilikuwa Kwan yote tuliyopanga kuhusu Pasaka yamekuwa ndivyo sivyo kwa sababu..[emoji24][emoji24]...kumbe Yule binti ambaye niliona txt zake amemtumia mpz wangu alikuja kutembea na mwanaume wangu na akapata MIMBA.. hivyo navyoandika hapa mwanamke Yule amekuja hom kwa mwanaume wangu kuanzia alhamis kuu mpaka sasa yupo na amegoma kuondoka...Mpz wangu ameondoka hom kwake kuanzia jumapili ya pasaka mpaka sasa ni kulala gesti anakunywa Pombe(alikuwa hatumii kilevi) Mpz wangu aliniita na kunieleza ukweli wote na analia sanaaa na ameshamuambia huyo mwanamke kuwa ampendi yeye huyo binti ndo alimlazimisha atembee nae siku hiyo moja...hivyo jana tumekaa na mpz wangu tukashauriana kuwa ajifanje kupretend kwa yule mwanamke kuwa wanataka waende kwa kina mwanamke wakaongee hayo masuala then akimtoa pale mimi niende kuchukua nguo zote za mpz wangu na vitu vya muhimu then nifunge nyumba aje tukae kwangu pamoja kwa ajili ya kufikiria nn cha kufanya!!! Na Leo kuna mtu tumemtumia ili ampeleke Yule mwanamke hospital akapige ultrasound ili ijulikane ni mimba ya miezi mingapi kwa sababu alidate nae mwezi wa KWANZA mwishoni coz huyu binti anasema Mara mimba ya miezi miwili Mara miezi mitatu, Mara niliona siku zangu mwezi wa pili..na kumbuka walidate siku moja tu na ni mwezi wa Kwanza mwanzoni...kesho natumah kuonana na Mpz wangu tena kuongelea kuhusu hiyo ultrasound imeonyesha nn....
Mpz wangu anakunywa tu pombe yaan anajuta na kulia tu...
Mpz wangu yeye ni mhandisi ila mimi nipo ofisi za watu binafsi...
Wana jamvi naombeni mnishauri kitu zaid ya haya niliosema naweza nikapata mwanga zaidi.... Mpz wangu bado ananihtaji ndo maana ameamua kunishirikisha
Mi nakushauri jambo moja ambalo laweza kuwa la msingi. Kitu cha kwanza msamehe kwa hayo yote yaliyotokea. Pili, namna ya kumsaidia ni kuhakikisha huyo binti hapati nafasi ya kuwa ndani ya himaya ya huyo mpnz wako. Binti huyo atakuwa mvurugaji ndiyo maana amejibeba na kuja hapo kwa mpnz wako. Plani ya kumhamisha ni sahihi maana huyo binti anatakiwa arudi kwao. Jamaa anakupenda, hicho kilichotokea ni ajali ktk maisha ndiyo maana anajuta. Jitahidi kumfanya aachane na pombe kwani haitamsaidia. Atulize akili, mzungumze na kupanga cha kufanya akiwa hajalewa.
 
Ni kweli unayosema ndugu yangu ila nimefikia kusema haya kwa vile mwanaume mwenyewe bado ameshikilia msimamo wake uleule kuwa hamtaki na aondoke kwake nami najitahid kumtuliza ili amuondoe taratibu....
lets say wewe mtu angekupa mimba halaf akawa anataka kukuacha ungeona poa!?
waache hao walee mtoto wao, move on acha kuwa mnyonge dogo.
ningekuwa nakufaham ningekuchangamsha na makofi kabsa, maana yake una pretend huelewi wakati unaelewa ufanye nn. alaa!!
pga chiniiii!
 
Pole sana kwa kadhia hiyo ambayo ipo kwako kwa sasa, Naomba utambue kuwa mwanaume akifanya kosa moja na ukampa nafasi tena hukuzoea na anajua huna jinsi ya kumfanya hata akirudia tena, anaweza kukuonesha kujutia nafsi yake ila kesho akazoea yale makosa yake na akaendelea kufanya na utaumia sana ila itakuwa ni mwanzo wa unyanyasaji kwako.

Ameanza kunywa pombe hilo ni tatizo jingine jipya ambalo litabeba fahamu na kujikuta anafanya tena ujinga kwa kisingizio cha pombe (yaani hili tatizo la pombe ni jipya unatakiwa kupambana nalo baada ya kusuluhisha hilo la mimba.

Nakuomba usome ila sitakushauri umuache ila mwenyewe utaamua.

MWANAUME UKIZAA NA MWANAMKE YEYOTE YULE HAO NI WAPENZI HADI KIFO HILO NI TATIZO LA TATU.

(POMBE, MIMBA, MWENDELEZO WA MAHUSIANO BAADA YA KUJIFUNGUA) Kama unakubali kuwa nae jua unapambana na haya matatizo.
 
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa...
Kiujumla Mimi ni Ke.... Nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa tunamipango mizuri tu hapo baadae ya kuja kuishi kama mume na mke kwa kufuata taratibu stahiki...ila mwezi Jan...2017 kuna meseji za binti mmoja hivi niliona amemtumia meseji mwanaume wangu kama kuna kitu linaendelea kati Yao...Mimi nikapuuzia ikwa wakati ule,ila nilikuja kumuuliza kuhusu huyo binti baada ya muda kama mwezi kupita akasema walisoma nae chuo na mambo kadhaa..Mimi nikaelewa nikapotezea...SASA kilichosababisha nikaandika haya ni kuwa jumapili ya pasaka tulipanga kwenda Cinema century hivyo nilitakiwa niwe kule kwa mpz wangu kuanzia jumamosi untl jumatatu kwa ajili ya sikukuu...ila hali ilikuwa Kwan yote tuliyopanga kuhusu Pasaka yamekuwa ndivyo sivyo kwa sababu..[emoji24][emoji24]...kumbe Yule binti ambaye niliona txt zake amemtumia mpz wangu alikuja kutembea na mwanaume wangu na akapata MIMBA.. hivyo navyoandika hapa mwanamke Yule amekuja hom kwa mwanaume wangu kuanzia alhamis kuu mpaka sasa yupo na amegoma kuondoka...Mpz wangu ameondoka hom kwake kuanzia jumapili ya pasaka mpaka sasa ni kulala gesti anakunywa Pombe(alikuwa hatumii kilevi) Mpz wangu aliniita na kunieleza ukweli wote na analia sanaaa na ameshamuambia huyo mwanamke kuwa ampendi yeye huyo binti ndo alimlazimisha atembee nae siku hiyo moja...hivyo jana tumekaa na mpz wangu tukashauriana kuwa ajifanje kupretend kwa yule mwanamke kuwa wanataka waende kwa kina mwanamke wakaongee hayo masuala then akimtoa pale mimi niende kuchukua nguo zote za mpz wangu na vitu vya muhimu then nifunge nyumba aje tukae kwangu pamoja kwa ajili ya kufikiria nn cha kufanya!!! Na Leo kuna mtu tumemtumia ili ampeleke Yule mwanamke hospital akapige ultrasound ili ijulikane ni mimba ya miezi mingapi kwa sababu alidate nae mwezi wa KWANZA mwishoni coz huyu binti anasema Mara mimba ya miezi miwili Mara miezi mitatu, Mara niliona siku zangu mwezi wa pili..na kumbuka walidate siku moja tu na ni mwezi wa Kwanza mwanzoni...kesho natumah kuonana na Mpz wangu tena kuongelea kuhusu hiyo ultrasound imeonyesha nn....
Mpz wangu anakunywa tu pombe yaan anajuta na kulia tu...
Mpz wangu yeye ni mhandisi ila mimi nipo ofisi za watu binafsi...
Wana jamvi naombeni mnishauri kitu zaid ya haya niliosema naweza nikapata mwanga zaidi.... Mpz wangu bado ananihtaji ndo maana ameamua kunishirikisha
mpenzi wangi!!!!!
kweli jamaa unampenda sana si kwa kutaja kila mstari, jamaniiiiii
 
halaf eti alivo wa ajab anaamsifia et anakunywa pombe kweliii [emoji28] [emoji28] [emoji28]
huyi sista bhana angekuwa dada angu ningemtandika viboko kabsa
 
Cha msingi sio kumkmbia huyo bnt, kashampa mimba ampe na matunzo pia.
 
Nasikitika kuona umenunua story ya jamaa kirahisi hivyo.....anyway moyo mashine,inaonekana umeshachukua maamuzi ndo maana bado upo unaendelea na mipango ya kumtelekeza mwenzako...ila jua mbwa ni mbwa hata apewe jina,leo kwake kesho kwako...
 
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa...
Kiujumla Mimi ni Ke.... Nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa tunamipango mizuri tu hapo baadae ya kuja kuishi kama mume na mke kwa kufuata taratibu stahiki...ila mwezi Jan...2017 kuna meseji za binti mmoja hivi niliona amemtumia meseji mwanaume wangu kama kuna kitu linaendelea kati Yao...Mimi nikapuuzia ikwa wakati ule,ila nilikuja kumuuliza kuhusu huyo binti baada ya muda kama mwezi kupita akasema walisoma nae chuo na mambo kadhaa..Mimi nikaelewa nikapotezea...SASA kilichosababisha nikaandika haya ni kuwa jumapili ya pasaka tulipanga kwenda Cinema century hivyo nilitakiwa niwe kule kwa mpz wangu kuanzia jumamosi untl jumatatu kwa ajili ya sikukuu...ila hali ilikuwa Kwan yote tuliyopanga kuhusu Pasaka yamekuwa ndivyo sivyo kwa sababu..[emoji24][emoji24]...kumbe Yule binti ambaye niliona txt zake amemtumia mpz wangu alikuja kutembea na mwanaume wangu na akapata MIMBA.. hivyo navyoandika hapa mwanamke Yule amekuja hom kwa mwanaume wangu kuanzia alhamis kuu mpaka sasa yupo na amegoma kuondoka...Mpz wangu ameondoka hom kwake kuanzia jumapili ya pasaka mpaka sasa ni kulala gesti anakunywa Pombe(alikuwa hatumii kilevi) Mpz wangu aliniita na kunieleza ukweli wote na analia sanaaa na ameshamuambia huyo mwanamke kuwa ampendi yeye huyo binti ndo alimlazimisha atembee nae siku hiyo moja...hivyo jana tumekaa na mpz wangu tukashauriana kuwa ajifanje kupretend kwa yule mwanamke kuwa wanataka waende kwa kina mwanamke wakaongee hayo masuala then akimtoa pale mimi niende kuchukua nguo zote za mpz wangu na vitu vya muhimu then nifunge nyumba aje tukae kwangu pamoja kwa ajili ya kufikiria nn cha kufanya!!! Na Leo kuna mtu tumemtumia ili ampeleke Yule mwanamke hospital akapige ultrasound ili ijulikane ni mimba ya miezi mingapi kwa sababu alidate nae mwezi wa KWANZA mwishoni coz huyu binti anasema Mara mimba ya miezi miwili Mara miezi mitatu, Mara niliona siku zangu mwezi wa pili..na kumbuka walidate siku moja tu na ni mwezi wa Kwanza mwanzoni...kesho natumah kuonana na Mpz wangu tena kuongelea kuhusu hiyo ultrasound imeonyesha nn....
Mpz wangu anakunywa tu pombe yaan anajuta na kulia tu...
Mpz wangu yeye ni mhandisi ila mimi nipo ofisi za watu binafsi...
Wana jamvi naombeni mnishauri kitu zaid ya haya niliosema naweza nikapata mwanga zaidi.... Mpz wangu bado ananihtaji ndo maana ameamua kunishirikisha

You can't advice any woman inlove
 
Nakushangaa unaposema akili zake hazifanyi kazi hali ww anakuona umeaccept na uko vzr ina maana kwanza anaumia kitu anachomfanyia huyo mwanamke mwezio pili anashangaa ww ulivyolichukulia poa kirahisi jambo kama hilo eti unamshauri mkabebe vitu ahamie kwako aiseeee naww siku utakuta wamebeba vitu amesepa na mwingine tumia akili jamani utakuja kulia huyo mtu wako ni msanii sana
 
Dah yaan huu mkasa unataka ufanane nawangu niliuleta kama mwez uliopita hivi ila nashukuru mungu mwanamke wangu alikuwa muelewa sana kama wewe ulivyo tulishikamana nakuonesha msimamo wetu kwayule binti kuwa hatuwezi kuachana kwasababu yake ila mungu sio athumani ile mimba iliharibika so kwasasa nipo safe me nampenzi wangu
 
Back
Top Bottom