Ushauri: Mpenzi wangu amempa mimba msichana mwingine

Ushauri: Mpenzi wangu amempa mimba msichana mwingine

Sasa kama ni tamaa tu, tafuta watu wazima kisha hao wazee wawakutanishe wote watatu ili akili mbele yenu kuwa nani anamtaka na huyu mjamzito atamleaje.
Usije kukuta naye hajui ampende nani, na kupelekea kila anayeonana nae anamwambia ni wewe tu. Kama ulivyomshauri ku pretend basi mshauri waendelee na mwisho waoane kabisa.

Shida inayokuja hapa ni kama mtu anayeitisha uchaguzi na mshindi anaye, namaanisha kuwa wewe unaomba ushauri huku ukiwa na majibu kuwa by any means humwachi jamaa. Sasa hapo unatuona kama tunapuyanga tu. Ila kama huna majibu basi achana nae taratibu na ukimpata mwingine ndio umwache rasmi
Atakutanisha vip wazee wakat kasema huyo ni mpenz wake, kama walikua wachumba na pande mbili anajulikana na mahar Tayar waweza ita wazee, sasa kama kila mmoja anamdanganya mwenzake anampenda afu mapenz yanaishia njian kwao hawakutambui na hakuna mkakat wowote hapo huon Dada atasota ila mwanaume anakili kamdanyanya kidogo Dada Wa watu kaamin kua mwanaume alilazimishwa
 
Dah yaan huu mkasa unataka ufanane nawangu niliuleta kama mwez uliopita hivi ila nashukuru mungu mwanamke wangu alikuwa muelewa sana kama wewe ulivyo tulishikamana nakuonesha msimamo wetu kwayule binti kuwa hatuwezi kuachana kwasababu yake ila mungu sio athumani ile mimba iliharibika so kwasasa nipo safe me nampenzi wangu
So umeshukuru mimba kuharibika!!! Ama kweli dunia ina mambo.
 
Sijamaanisha wazee kwa maana ya wazazi, namaanisha watu waliokaribu nao hasa mitaani kwao. Jambo hili likiendeshwa kwa pupa kuna mtu ataathiriwa sana kisaikolojia.
 
binti makosa yapo ila hakikisha kweli anajutia alilolifanya ndiyo uendelee nae , pili ungemtafuta huyu mrembo uongee nae ujue kinaga ubaga ukijifanya unataka kumsaidia halafu upate mwanga.. huyo mwenzio anakuficha mengi hawezi kufunguka kwako... kingine usiwe mbinafsi sana kujiangalia wewe na mwenzio mkasahahu kuna kiumbe kinakuja kisichokuwa na hatia kabisa .. kama mwenzio ataweza kulea akiwa na wewe ni heri na pia kama atapenda kuishi na mwenzie ni vyema zaidi wewe unanafasi kubwa ya kupata mwingine kuliko k=huyo aliyezalishwa na kuachiwa kiumbe
 
Pole. Ila kuwa makini. Wasijekuwa nae mwanaume anapanga na mwanamke mwenye mimba vingine juu yako.

Unauvumilivu aseee
 
Dah yaan huu mkasa unataka ufanane nawangu niliuleta kama mwez uliopita hivi ila nashukuru mungu mwanamke wangu alikuwa muelewa sana kama wewe ulivyo tulishikamana nakuonesha msimamo wetu kwayule binti kuwa hatuwezi kuachana kwasababu yake ila mungu sio athumani ile mimba iliharibika so kwasasa nipo safe me nampenzi wangu
Mleta mada asivunjike moyo...

Mambo kama hayo yapo tu haswa kwa wanaopendana kiundani.

Mleta mada wewe ndio ujuae jinsi gani mnavopendana na mwanaume wako. Simama kuokoa penzi lenu
 
Ni kweli unayosema ndugu yangu ila nimefikia kusema haya kwa vile mwanaume mwenyewe bado ameshikilia msimamo wake uleule kuwa hamtaki na aondoke kwake nami najitahid kumtuliza ili amuondoe taratibu....
Huyo mwanaume upo nae kwenye mahusiano kwa muda gani? Je ameshapanga kwenda kwenu wamjue?
 
Nashukuru kwa ushauri wako . Kiukweli nimevaa ujasiri wa ajabu maana bila Mimi nahisi mpz wangu anaweza kujinyonga au kunywa sumu kwa mawazo...( ni Mbena )..
Huyo me wako hivi alikua hajui kuwa ukifanya ngono zembe lolote linaweza kutokea?? Hivi alianzaje kumlala huyo ke mwingine wkt wewe upo yaani hapo kwanza kunahitaji majibu yakuridhisha!
 
Tatizo hamtaki huyo mwanamke ni tamaa tu ilitokea ndo malipo yake haya...yaan najitahid kwanza arudie katika hali yake ya kawaida maan bado akili zake hazifanyi kazi
Wewe unataka ushauri au una majibu yako? Unamtetea huyo msaliti na bado ukisolve hilo atatia mimba kwingine!
 
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa.

Kiujumla mimi ni Ke, nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa tunamipango mizuri tu hapo baadae ya kuja kuishi kama mume na mke kwa kufuata taratibu stahiki ila mwezi January 2017 kuna meseji za binti mmoja hivi niliona amemtumia meseji mwanaume wangu, kama kuna kitu linaendelea kati yao mimi nikapuuzia kwa wakati ule ila nilikuja kumuuliza kuhusu huyo binti baada ya muda kama mwezi kupita akasema walisoma nae chuo na mambo kadhaa mimi nikaelewa nikapotezea.

Sasa kilichosababisha nikaandika haya ni kuwa Jumapili ya Pasaka tulipanga kwenda Cinema century hivyo nilitakiwa niwe kule kwa mpenzi wangu kuanzia Jumamosi until Jumatatu kwa ajili ya sikukuu ila hali ilikuwa kwan yote tuliyopanga kuhusu Pasaka yamekuwa ndivyo sivyo kwa sababu kumbe yule binti ambaye niliona txt zake amemtumia mpenzi wangu alikuja kutembea na mwanaume wangu na akapata mimba.

Hivyo navyoandika hapa mwanamke yule amekuja hom kwa mwanaume wangu kuanzia alhamis kuu mpaka sasa yupo na amegoma kuondoka mpenzi wangu ameondoka home kwake kuanzia Jumapili ya pasaka mpaka sasa ni kulala gesti anakunywa pombe (alikuwa hatumii kilevi) mpenzi wangu aliniita na kunieleza ukweli wote na analia sana na ameshamuambia huyo mwanamke kuwa ampendi yeye huyo binti ndo alimlazimisha atembee nae siku hiyo moja.

Hivyo jana tumekaa na mpenzi wangu tukashauriana kuwa ajifanye kupretend kwa yule mwanamke kuwa wanataka waende kwa kina mwanamke wakaongee hayo masuala then akimtoa pale mimi niende kuchukua nguo zote za mpenzi wangu na vitu vya muhimu then nifunge nyumba aje tukae kwangu pamoja kwa ajili ya kufikiria nini cha kufanya na Leo kuna mtu tumemtumia ili ampeleke yule mwanamke hospital akapige ultrasound ili ijulikane ni mimba ya miezi mingapi kwa sababu alidate nae mwezi wa kwanza mwishoni coz huyu binti anasema Mara mimba ya miezi miwili Mara miezi mitatu, Mara niliona siku zangu mwezi wa pili na kumbuka walidate siku moja tu na ni mwezi wa kwanza mwanzoni, kesho natumai kuonana na mpenzi wangu tena kuongelea kuhusu hiyo ultrasound imeonyesha nini.

Mpenzi wangu anakunywa tu pombe yaani anajuta na kulia tu.
Mpenzi wangu yeye ni mhandisi ila mimi nipo ofisi za watu binafsi.
Wana jamvi naombeni mnishauri kitu zaidi ya haya niliyosema naweza nikapata mwanga zaidi, mpenzi wangu bado ananihitaji ndio maana ameamua kunishirikisha.
Nenda na wewe akupe kwani shida iko wapi??
Maana unavyojinanga eti mpenzi wako[emoji15] [emoji15] [emoji15] angekuwa wako asikupe wewe mimba apewe mwenzio???

Akili kumkichwa usikute wewe ndiyo ulikuwa mchepuko afu unajidai wako, tafuta wako acha ujinga mtaangamia kwa kukosa maarifa, wapuuzi nyie viumbe. Eti bado upo unatoa macho. Aliyewaroga alishafariki just imagine ungekuwa wewe ndiyo umepewa mimba.
 
Msaidie mpenz wako ktafuta suluhu coz anaonekana anakupenda.Alichepuka tu lakini anakupenda.
Kipimo cha kumpenda kiko wapi? Huyo dume aibu imemshika ndio maana! Isingekuwa hiyo mimba kunasa bado angekua anambanjua tu
 
Dah, seems huyo mwanamke ni majanga

ila kuna dalili zote mimba sio yake, au ametegeshewa! na kanuni ya kutegeshewa mtoto ni kutomuoa mama mtoto (sorry ladies, but its true). So hapo ni ageuke mbogo tu, ikiwezekana apige huyo demu vibao, kulewa kwake hakumsaidiii
 
Dah! Kuna wanawake mna roho ngumu sana... Mwanaume atakayekuoa wewe, atakuwa amebahatika... Huu ushirikiano unaouonesha ni wa kiwango cha lami...
 
Dah yaan huu mkasa unataka ufanane nawangu niliuleta kama mwez uliopita hivi ila nashukuru mungu mwanamke wangu alikuwa muelewa sana kama wewe ulivyo tulishikamana nakuonesha msimamo wetu kwayule binti kuwa hatuwezi kuachana kwasababu yake ila mungu sio athumani ile mimba iliharibika so kwasasa nipo safe me nampenzi wangu
Kwahiyo wewe unashukuru mimba ya binti wa watu kuharibika?! Ulivyoenda kumfanya bila kinga ulitegemea nn? Yaani wanaume kama nyie kwanini siwapatagi mimi
 
Ipo tofauti kubwa kati ya mpenzi na mume na kwanini mlikuwa mnakaa tofauti tofauti kama kulikuwa na uwezekano wa kuishi pamoja...Vijana wa siku hizi nawapa hongera wenyewe mnasema mnaishi kimjini mjini...hivi unawezaje kuchukuana na kuishi pamoja bila ndoa?? lakini mimi imewahi nikuta nilizaa na dada ambae sikuhitaji awe mke,nikaenda kuchumbia dada niliyemuhitaji awe mke baada ya kujulikana kuwa nimezalisha somewhere nikaachwa na mimi nikamuacha mzazi mwenzangu sahz kila mtu ana mke na mume tofauti.
solution ni kuachana usiogope kilio cha mgojwa we paka dawa tu....au kaaa pembeni kwanza wayamalize wenyewe we usiingilie
 
Yan wewe sijui niwawap? Et ananipenda na kunijalii na bado kamtusua mtu kibend? Alafuu et wali sex tuu mara moja ndo akashika mimba, kwan mimba inashikaga baada yakusex mara ngap? We ndo unajipendekeza kwa huyo mwanaume kwakujua utaolewa na unaweza ukawa umri ushainama. (Alilazimishwa kwan alitolewa bastola? Au alivutwa icho kifanyio chake kikaingizwa shimon? Kwa huyo unae muita mume mtarajiwa alipajuaje mpaka ajee asitake kutoka? (Acha kujipa moyo mwenzio alikuwa anajipigiaa kutokana nawewe kujikuta unamuamin kanogewa kagandisha na utamu ndani. Sasa ujiongezee kulea wamwanamke mwenzako na wako au UKATE UKUNJE UPITE HIVIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom