Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Uje tena pa siku ile ntalipa chochote utakacho chagua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hata ukiduduliwa,wanaume wa humu ni madume ya nyani???si ni binaadamu?
Mnadharau wakati humu kuna watu sana ndoa zao,wana wachumba na wapenzi.
Mpunguze dharau..