MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,767
Jamani mtaniua mimi nipo buzy natengeneza tamthilia sasa mnanifuata inbox!
Sasamekuja niwaonye wanaume wote hwa humu na wengine wote kuwa mnapokutana kimwili na dada zetu mkimaliza muwaachie hela ya;
1. Nauli ya kuondokea kurudi ma kwao
2. Sabuni ya kuogea
3. Nauli ya kuja tena kupigwa mechi
4. Hela za vocha
5. Nauli ya dharura kama bodaboda ili kuwahi eneo la tubio
6. Hela za mavazi yaani nguo za ndani mana mnawachanaga chupi wakati wa purukushani za ku-do!
Jamani kaka zetu popote mnaposoma huu uzi chonde chonde muwaangalie vizuri dadas wa wary
Wengine hata maji ya kuoga hawatoi wanawafukuza tu watoto wa watu hata perfumes ya kujipaka upwiru usinukie njiani hawana
Muwe na ubinaadamu wanaume hata kama maisha yamebana kwani lazima umchukue mtoto wa watu so ujipunyete kuepusha gharama kwani hamjui kuwa watoto wa kike ni gharama?!
Wanaume Mungu Anawaoooonaaa
Toeni Helaaaaa...
Pale hatuwali kile kitendo ni kukulana na wote tunasikia burudani....
Tunawapa sabuni/maji/nauli/ kwani hyo raha tunaipata wenyewe? hii bdio chanzo cha wanawake kuonekana watu wachini daima
Itafika mahali titawaacha mjile wenyewe tuone kama hamtapata ugonjwa wa kucheka
USHAURI: Mdada ajisimamie mwenyewe kuanzia nauli,maj, sabuni n.k kama hawezi afe na hamu zake........hzo pesa mnazikosahe sisi tuzipateje! #/vyuma vimekaza