fatu2010
Senior Member
- Mar 4, 2014
- 173
- 142
Wakuu hili tatizo analo mme wa mdogo wangu yani hawezi jisafisha vzr na ni mtu mzima unakuta kwenye pichu kuna ile dead matter, ama akitoka job anavaa kanga sasa inapita pale ikweta akivua tu majanga. Nimejaribu kumshauri mdg wangu amwambie tu anasema ameshamtell vya kutosha hadi amechoka.
Hivi anaweza msaidia vip hii hali? Unajua tena kufua divi la mtu mzima na Dar es salama yetu maji shida, tafazali ushauri muhimu mdg wangu kinyaa kinamsumbua na namuonea huruma sana
Hivi anaweza msaidia vip hii hali? Unajua tena kufua divi la mtu mzima na Dar es salama yetu maji shida, tafazali ushauri muhimu mdg wangu kinyaa kinamsumbua na namuonea huruma sana