Ushauri: Mme hajui kutawadha

Ushauri: Mme hajui kutawadha

Labda kazoea tangu hom hawatawazi mkuu, enzi zile porini 2nafutia makaratasi au majani ya miti.
 
Huyo inabidi ategee msalani awe anaenda muda wa kuoga

Akimaliza shughuli zake aoge hapo hapo itasaidia
 
Mleta mada unachanganya mambo, kwanza kabisa huko unakokuelezea si kutawadha. Huko kunaitwa kustanji. Kutawadha ni "process" nyingine kabisa.

Nakushauri uchukuwe kitabu chenye "hukumu za kustanji" utapata faida kubwa.

Kwa ufupi, yeyote aendae haja kubwa anatakiwa ahakikishe anajisafisha mpaka ule "ulaini" unapotea na hauhisi kabisa. Ni vyema akianza kwa "toilet paper" akamalizia kwa maji kama ana matatizo.

Pia inawezekana ana tatizo la kiafya nashauri akishaelewa kustanji sawa sawa na kama hali inaendelea amuone daktari.
Mkuu FaizaFoxy msaidie kitabu cha baabu

Najua wewe mkali si unajua tena yale mambo ya

BAABU MAA JAA FII TIBIL-ILMI, WAFADHWILIL ULAMAAI
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom