Ushauri: Mke wangu si muelewa, ni mbishi kupindukia

Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe

Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'

Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
kwa hiyo asile akusubiri???

kaka

Wanawake wa hivyo waliisha kwenye vita vya pili dunia!!!!!!

Imagine unarudi saa tano saa sita usiku, akae na njaa ili akuridhishe??????? au abugie mivyakula ya usiku usiku anenepeshe kitambi ili akufurahishe????

Ukitaka kula na mkeo pamoja tenga siku ya kuwahi kurudi mle wote!!!!!!
 
Unadhani bado upo honeymoon!? Ushaingia dimban mkuu ngoja uisome namba.Hizo mambo tunafanya sana tunapoisaka ndoa tukishaingia unageuka jirani msumbufu:rolleyes:
Ila bado inapaswa kujua huyo.mwanaume anarudi saa ngapi nyumbani????????

Unless anarudi kabla ya saa mbili usiku.

Usikute anarudi night kali halafu anategemea mke asile amsubiri wale wote........

Kwanza kitendo cha mkewe kumsubiria mpaka ale ashukuru Mungu!!!!
 
Mimi naona hili jukwaa la MMU linawalemaza akili wanaume(sorry for shooting you on the head).
Mbona ni jambo tu la kuongea na kutoa maamuzi kama baba wa nyumba!🤔View attachment 2093254
Kha! Yaani baba mwenye nyumba alazimishe nimsubiri kula? Au kula nae? Yaani iwe ni lazima? Hebu nifafanulie...
Hilo suala ni la kimahaba zaidi unakaa unaongea nae kimahaba atakuelewa. Ila pia sio uchelewe kurudi hlf utegemee nitakaa njaa nikusubiri. Utakuta nimekula nimeshiba na kama ni usiku umechelewa utakuta nakoroma.
 
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe

Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'

Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
Wewe jamaa jiongeze anakua anataka umule kwanza yeye ndio mule wote chakula,au nipe no,yake ni mpe ushauri.
 
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe

Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'

Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini hasikii.
Wakati unaoa huo mtambo ulitushirikisha?

Kila mtu ashinde mechi zake
IMG-20220122-WA0078.jpg
 
Daa mchunguze Ila Kuna kipindi nilikuwa nafundisha shule moja Ivi Sasa tukawa tunaishi kwenye Kota za shule na tulikuwa tuna tabia za kutembeleana walimu mahome baada ya vipindi , Sasa siku moja wakati vipindi vinaendelea Kuna syllabus ilikuwa kwa mwalimu mmoja Ivi ikabidi anielekeze nikaichukue alipoiweka na muda wa chakula Cha mchana umekaribia ,Sasa Mimi nikaenda mbio nikijua home kwake huyo teacher hayupo mtu kumbe bila kujua mke wake alikuwepo Sasa nikasukuma mlango bila hata ya hodi daa yule mama alishtuka sijapata kuona kumbe Kuna vidawa alikuwa anavichanganya kwenye chakula Cha mmewe kwenye mboga aisee nilivoona nikajifanya sijaona kabisa na kusema shida yangu chap then nikasepa na kweli yule ticha alikuwa zobe Sana kwa mkewe yaani alishikwa hatari jamaa Hadi kuni alikuwa anaenda kuokota mshahara anaubudget mke ,na mengine mengi ya ajabu

So huyo mke wako bila kupepesa macho anakuandalia bomu Cha kufanya na ww kula hotelini akikuuliza mbona huli chakula mwambie mbona na wew huli akisema amekula na ww mwambie pia mm nimekula fanya hivo wiki baadae atanyooka tu

usikute anakuwekea zile damu za siku zake ko yey anaona kinyaa kula(my opinion)
Sasa hukumstua mwenzio ukaacha ateketee sio vizuri bana!
 
Kha! Yaani baba mwenye nyumba alazimishe nimsubiri kula? Au kula nae? Yaani iwe ni lazima? Hebu nifafanulie...
Hilo suala ni la kimahaba zaidi unakaa unaongea nae kimahaba atakuelewa. Ila pia sio uchelewe kurudi hlf utegemee nitakaa njaa nikusubiri. Utakuta nimekula nimeshiba na kama ni usiku umechelewa utakuta nakoroma.
😅😅😅😅😅😅 mlango unaachaga wazi au
 
Ushauri: Mwache huru akaolewe na ex wake.
Ulimpokonya mtu kwa nguvu ya pesa au status fulani ila Bado anapenda huyo mtu.
Natania tu
 
Wakati mwingine watu mnafanya mambo yanakua magumu bila sababu.

Kwani kula pamoja ni lazima mkuu? Halafu inawezekana wewe unarudi sa 3 ama 4 usiku, mtu apike sa 12 jioni akae akusubiri hadi urudi kweli ndio mje kula wote?

Kikubwa ni kwamba unakuta kakuandalia chakula, ni wewe kula na kisha kwenda chumbani umle ulale, biashara imekwisha, hayo mambo mle pamoja umekua mototo?

Wanaume wengi wanakwepa kula pamoja na wake zao, tena wanatamani wakirudi wakute wake wameshalala na wewe unakfika anakutengea chakula vizuri tu unataka nini tena boss?

Nikajua unakunyima ile chakula kuu, kumbe ugalia ama wali? Acha masikhara mkuu. Kula hiyo wali kisha neda chumbani mle kisha ukalale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom