Ushauri: Mke kakiri anachepuka. Nawaza adhabu ya kumpa ili iwe fundisho kwa wengine

UPDATES

Wakuu niliongea na mwanamke bado kakomaa ana msela ambaye ana mtomba na mimi ameshakiri kunitoa moyoni. Hivyo next week rasmi tunaenda mahakamani kuvunja ndoa aendelee na jamaa alieamua kuwa nae na kuhusu watoto nimemwambia sipo tayari kuona wanalelewa na huyo jamaa hivyo nitafanya mpango wa kuwachukua ingawa wawili bado wadogo Mungu atasaidia nitajua nikavyopambana kuwalea. Ila nimeona nisifanye mambo kuwa mengi na mwisho kufikishana kubaya kwa mtu ambaye tayari ameshaamua kukukataa na kwenda kwa mwingine.
 
Saaf sana we tulia hivyo hivyo,huyo single mama mtarajiwa hatujui sisi wanaume vizuri,,,,yeye wakati huu anafurahia kukazwa huko ila hazitambui hisia za huyo mzinzi mwenzie....huyo msela akishajua ametalikiwa shetani na mapepo yake yanamwachia maana ameshatimiza lengo la kuachanisha ndoa takatifu......kisha guilty itaanza mnyemelea yaani we mpole mwachie Mungu ata deal na hao wazinzi wako vizuri tu mbona

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom