Ushauri mie nipo njia panda

mmmmhhh kwenye miti hakuna wajenzi...ni kumbembeleza mpaka atulie ukitumia nguvu na hasira umemkosa huyo
 
Hapana usimwulize angalia kitu gani anaweza kusimamia. Fanya kumwekea M-PESA ama mfungulie kingine zaidi, MPE ufundi cherehani ajue kushona vyote, kuanzia Mapazia mpaka suti. Usimwache atapotea, Maisha yana changamoto sana
 
kama kila mtu akisoma na akafaulu sidhani kama dunia itakuwa ni mahala pazuri pa kuishi. lazima kuwepo na matabaka. na wengi wetu hatujui kwamba watu wa elimu ya kawaida ndio wanaoendesha maisha ya sisi tunaojiona tumesoma. mfano mdogo tu ni hiyo kitimoto ulioagiza ilifugwa na mtu wa kawaida tu na huenda hata la saba hakumaliza.

so back tu ushauri, ongea nae na athibitishe miradi mitatu tofauti anayoweza kufanya (mmojawapo ukiwa mradi wa kilimo) arafu kwa mradi utaopata maksi kubwa hakikisha unaanza nae kwa usimamizi. ni hayo tu.
 
Huyo sasa........inabidi umuulize yeye binafsi anataka kufanya nini........vinginevyo unaweza kumchinja hadharani.........

Sidhani kama hajamuuliza hilo swali mpaka sasa.
Dogo kashajichagulia fungu lake lililo jema ambalo analiweza
 


kusomesha mtoto asiye wako mara nyingi ni kujinunulia lawama na matusi. Usirudie tena.
 
Mfanye house girl!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…