Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,574
- 272,320
Hii ni muhimu sana kwa sababu ni dhahiri waliomteka ni watu waliotumwa kumuua , sasa kwa vile kelele zimekuwa kubwa mno , kwenye nyumba za ibada , kwenye vijiwe , mitandaoni na hata nje ya nchi , wauwaji wakaona aibu wakawaelekeza watumwa wao wa kuuwa watu kumtupa jalalani ili aokotwe, hawakumwachia kwa kupenda , bali kwa kuzidiwa na nguvu ya umma.
Ni vema kuchunguza matumizi ya sumu kwa vile roho mbaya ya watu hawa inafahamika , kuna mashaka makubwa sana kwamba wanaweza kuwa wamempa sumu ili afe taratibu.
Nakala kwa John Mnyika na Saed Kubenea