USHAURI: Mdogo Wangu Amechagupangiwa Kibiti Sec. Combination Ya PCB

USHAURI: Mdogo Wangu Amechagupangiwa Kibiti Sec. Combination Ya PCB

Kwani ni mwenyekiti wa CCM,Mgambo au Polisi?

Kama ni binti mwambieni abane miguu Tu maanake akijazwa hakuna second chance.
 
Kama kichwa kielezavyo, mdogo wangu amepangiwa kibiti combination ya PCB, Kwenye familia kumekuwa na ubishani mkubwa wengi wao wakipinga aisende huko kutokana na hali ya usalama, sisi wachache tumeonelea yeye kwenda kwani serikali inajitahidi kuweka usalama katika hali yake ya zamani...

Wapendwa Tumefikiria sana tumefika mwisho au ukomo wa kufikiria, Kwa Niaba ya familia naomba maoni yenu, najua tupo wengi wenye mawazo toauti zaidi ya haya yetu, dogo mwenyewe ndo tunamtegemea na tunaarajia ndiye atakayetutibu huko mbeleni tukiwa wazee kwa NEEMA YA MUNGU, Naombeni mawazo yenu..


Natanguliza shukrani!
bampami!

Matokeo ya kibiti alevel 2017,
I-34, II-194,III-311,IV-24,O-13
 
IMG-20170715-WA0020.jpg
 
Ivi kobiti na wanafunzi wanauwawa? Acheni zenu bana muacheni kijana aende shule, au kama hamuhitaji mpelekeni private school tu
Mkuuu hawezi kwenda kobiti ila ndugu yake anataka aende kibiti
 
Back
Top Bottom