IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
- Thread starter
- #21
je akinywa pombe anakusumbua ? au anakuwa mkali? ... mtu nayekunywa pombe huwezi mkataza mara moja lazima aache kidogo kidogo.... mimi kama ni mnywaji siyo shida kama ni mlevi kalowea hapo ni shida kama hutaweza kuhandle that mwache atapata wa kufaana nae
Anakunywa japo hanisumbui ila kama mwanamke nadhani sio vyema kunywa koz matokeo yake sio mazuri, mimi sio mnywaji wa pombe, na nimemwambia kuwa aache kasema kuacha mara moja ni ngumu ila ataacha mdogo mdogo na ameniahidi kuacha, ila dah