Ushauri!Mapenzi yanamtesa dada yangu!

Wewe unaogopa kuolewa kwanza kwa sababu dada yako bado?

Ungetupa maelezo zaidi kuhusu dada yako na huwa ana date watu wa namna gani?

Vinginevyo ngumu kumshauri maana hatujui wapi anakosea.

Umenena mkuu!
 
Something gotta be wrong with either her personality or ethical strength
 
Yote yaweza kuwa kweli ila sijui jinsi ya kumsaidia na sipendi kumuona analia!nishauri mkuu
 

Nimepapenda kweli hapa BADILI TABIA nikienda intaneti kefu nitakugongea like..... Kuna wadada/wanawake wamekariri hakuna maisha bora na furaha pasipo mwanaume lol... Wananikerajeeeee!!!!!""
 
Last edited by a moderator:

Kama tabia yake ni nzuri basi anamatatizo ndani ya mwili wake i mean kuna vitu mwanaume anashindwa kuvivumilia kuendelea nae,mfano wa hivyo vitu ni kama vile ,ukubwa wa k yake,may be anatoa harufu wakati wa majambozi,au anatoa maji mengi, au ni mkavu sana maeneo ya kule kwetu,waweza ukafikili natania ila kama atakuwa ni mtu wako wa karibu kaa nae ili mzungumze kwa ndani zaidi inawezekana tatizo likawa ni mojawapo ya hayo matatizo niliyotaja au likafanania na matatizo niliyo taja hapo juu.SITANII NA SINA SABABU YA KUMTANIA MTU NISIYEMJUA..
 

awe mvumilivu tu atampata wa ukweli, na angekuwa under 27 na kama yuko serous, ningemuomba awe na mm
 
Natamani sana hayo mawazo yahamie kichwani kwa dada yangu!
 
Asantee dada yangu!kuna kipindi nilimuuliza kuhusu ili swala akanijibu yeye yuko sawa!ila itabidi nikae niongee naye kwa mara nyingine

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asante mkuu!

In life try to natural!
 
Unamwamini Mungu katika Yesu Kristo? Kama ndio kaa katika maombi. Soma Habakuki 2:3
 

Ha ha ha ha ha!!! Wanawake dizaini hiyo mbona wapo wengi sana tu hapa duniani. Mwambie aendelee na maisha yake, siku ya kumpata mwanaume wa kweli itafika, hata kama ni miaka 50. Rejea ndoa ya mangula na yule mama. Umenipata.

 

shida ni mpole na mtaratibu mno. hana challenge. mwambie awe crazy kidogooooooooo
 
Wachache sana watakuelewa

Lakini ndio ukweli wenyewe

 
unamaanisha nini ayanda?

namaanisha kwamba atakua ni mpole sana hadi anaboa, yani yeye kila anachoombwa au anachoambiwa anatekeleza bila hat kuquestion. In short she acts too desperate.

haya mapenzi ukiwa too availble kwa mwenzako, basi unapoteza ile sense ya attraction maana upo too available. kwahiyo ni bora awe na life yake na asikkubali kufanya kila analoaambiwa, ajitambue na kujipenda.

hii pia ni kwa wanaume, maana wengine mnafanya everthing mwanamke anachokwambia bila kujua mwenzio anakuona boya tu maana anajua amekushika, inabidi uwe na msimamo binafsi pia.
 
noted with appreciation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…