Umbile lake na rangi yake?vinahusika pia na pamoja na kipato chake yawezekana anatumia pesa kama fimbo!Dada yng ni mpole mtaratibu,na kuhusu usafi naweza sema ndo mtoto pekee ambaye mama anapenda aende kusalimia coz si wengine tunaonekana wavivu!pia hana matatizo yoyote ya afya na kuhusu mapenzi yeye ndo unifundisha mimi jinsi ya kukaa na mpenzi! Na kuhusu elimu ana MBA! Mi hta sielewi shida inakuja wap!
Naomba nikushauri jambo moja:
km unaomba ushauri hususan kwa watu ambao huwafahamu vyema mfano wengi wetu wa hapa jf, ni vyema ukawa unatiririka hata background za huyo nduguyo zinazohusu masuala mbalimbali za kimapenzi, maana mapenzi yana mambo mengi sana, ili imsaidie mtu kufanya analysis vizuri vinginevyo utajikuta kuwa unapokea vipisi vya ushauri badala ya mzigo mzima wa ushauri sababu wewe ndo umekuja kuomba ushauri ukiwa nusunusu, na pengine ukaishia kuulizwa vipisi vya maswali lengo ni mshauri apate picha nzima ya background, mfano tazama huyo wa kwanza ameangalia "like" yako tu akaconclude kuwa nyie ni wachoyo!
Wewe kama umejaliwa kuwa mwenyewe usidhani niwote mwanaume nikila kitu umena meli vifaru hata ndege bila ya mwanaume wewe nisawa na gari bila usukani!kwani lazima awe na mwanaume?
Mwambie ajithamini na kujipenda mwenyewe
Mkuu ndio maana mimi nimesema akikubali nimtest kwa wiki 2 tu lazima nimuandikie thesis...Hapa kuna vitu vya kuangalia kwanza
Katika ya hizo sababu yawezekana anazo na akiwa nazo mbili hadi tatu ni tatizo mfano ni kikojozi huyu awezi kuishi namtu hasa kwa wanaume wasasa wasiojua kumvumilia mtu!Yawezekana anapesa,elimu kubwa,madaraka vyote anataka kuvionyesha kwa mwanaume,hili nalo nitatizo kuu,Mimi ninaona nimengi ilitakiwa uweke nini wasifu wake tungeweza kukwambia labda nini kinachomfanya awe hivyo!!
- umri wake ukoje??
- je Body structure yake ikoje
- Heshima kw ampenzi wake ikoje
- Je anakipato kiasi gani??
- Je elimu yake ikoje?
- Madaraka yake yakoje??
- Je anamatatizo gani ya kiafya nikiwana maana kuwa yawezekana anatatizolakiafya mfano ananuka mdomo,ananuka kwapa,ananuka mashine nk
- Je anamatatizo yoyote kisaikolojia,ya wezekana anakujoa kitandani,Yawezekana ni mchafu uvunguni mwake!
- Au ni mshamba hajui kuvaa
- au ni aambiliki!
- Au ni mjivuni??
Umbile lake na rangi yake?vinahusika pia na pamoja na kipato chake yawezekana anatumia pesa kama fimbo!
Mkuu asante,nahisi kwasababu nimerud home na nimemkuta analia tena ndo kimenifanya niandike nusu ila nahitaj msaada
kumbe hata mtu kutodumu na mpenzi wake inaweza ikawa ni jini mahaba?
leo nami ndo nimejua.
Ndo tulivyoa ambiwa ila mimi mwenyewe sielew
Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni linanikosesha amani!
Hapa kwenye pesa sina sidhani kwasababu wanaume wote anaotoka nao,wamemzidi kifesha na kuhusu rangi yeye ni maji ya kunde mashalaaal kajaliwa ka mtoto wa kike ila hta sielew shida inakuja wap
Sasa we unadhani tatizo lake litagundulikaje? Maana kama wewe mdogo wake unaeushi naye hujaligundua, ina maana ni jambo ambalo linatokea ndani ya tendo la sex au kitu cha ndani sana. Njia nyingine ni kama kuna X wake umemzoea, tumia ujanja wako wa kike kumchunguza ni sababu gani zilimfanya akamuacha dada yako. Vinginevyo niruhusu tu nimtest...Mkuu kumtest tena jaman
Wewe kama umejaliwa kuwa mwenyewe usidhani niwote mwanaume nikila kitu umena meli vifaru hata ndege bila ya mwanaume wewe nisawa na gari bila usukani!
ninyi ni kabila gani? pengine kama ni kabila kama langu ambalo wanawake wengi wa umri huo wamekeketwa hicho chaweza kuwa sababu...hata hivyo mambo mengine huwezi kuyamwaga hadharani na ndiyo sababu inaonekana umeficha vitu ingine. waweza ku-pm
Hapa kwenye pesa sina sidhani kwasababu wanaume wote anaotoka nao,wamemzidi kifesha na kuhusu rangi yeye ni maji ya kunde mashalaaal kajaliwa ka mtoto wa kike ila hta sielew shida inakuja wap
Mkuu sisi wanyamwezi
Hahahahaha haina haja ya samahan coz imenibidi tu nicheke!ila sio wachoyo sisi