Ushauri mapenzi ya mbali yananizingua

Ni pm email yake au account yake ya facebook alafu nimpige saundi akiingia bila kuniambia upo wewe au akasema hajawahi kuwa na mpenzi nadhani hiyo itakuwa visibility outcome then you will need to let her go.
Hatumii vitu hivyo ndio maana mawasiliano yanakuwa magumu. Ana namba ya simu ,kama upo tayari ntl.
 
ina maana malaya wa hapa bongo wako udsm 2,wee vp?

usimlaumu,case study yake inazungumzia udsm,kwani ndiko ambako ana-xperience.........so kwa UDOM anaweza toa ushuhuda wake
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka.
 
kaka ninasikitika kukwambia kwamba huyu unayemwita mpenzi wako wako ni mpenzi wa watu. yuko kwako kwa ajili ya vitu flani na laiti kama kweli angekuwa anakupenda nadhani wewe ungekuwa mtu wa kwanza kukwambia kama kanunua simu. nahisi ana mwingine na mimi ninavyojua watoto wa chuo kukaa bila simu kwa sasa ni jambo gumu achilia mbali wa secondary. wako radhi hata karo wakanunulie simu sasa huyoo mpenzi wako kukwambia kwamba hakuwa na simu kwa hicho kipindi chote ama kweli inatia shaka. halafu mbona matatizo yake hayaishi. najua inawezekana kwao hawana uwezo na si vibaya kumsaidia mpenzi wako lakini naye aoneshe fadhila kwa kila unachomfanyia kwani asikutafte tu pale anapokuwa ana shida kwani waswahili walisema ukibebwa jishikie usingoje aliye kubebe akuachia. piga chini we watoa si ajabu wengine wanapewa bure.
 
shez a gold digger,achana nae kabisa hata kama ni mzuri kama malaika!huyo sio mke,just for the show!
 

...so materialistic kind of love, nadhani unachangia kwa kiwango kikubwa kumyumbisha mwenzio.
unadhani mapenzi ni simu, pesa, kutumana bank nk? unadhani ukimpigia simu kumtishia upo mguu ndani mguu nje ndio uta solve au ndio kwanza utampa go ahead kwa anavyojiskia kutokukuamini na wewe?

...ninavyoitafsiri kesi yako...yeye anakuona unamtumia, na wewe unamuona unamtumia.--hamuaminiani!--
hizo doubts ulizonazo juu ya tabia zake bongo, ndio naye anavyo doubts tabia zako ughaibuni.
kisu hiki, inategemeana umeshikilia mpini au makali...

...peaneni 'healthy' distance, siku bado zipo za nyie wawili kusomana. matukio haya ya misunderstandings na
lack of communication, sababu ya long distance ni mambo ya kawaida kabisa....inategemeana na wenyewe akili
zenu zinavyoweza ku handle challenges kwa kipimo cha mapenzi na uaminifu wenu.

kumbuka, katika kipindi hiki ndipo wanawake wengi wanapofanya maamuzi ya mume anayefaa kumuoa,...
hizo chenga unazompiga kuhusu kumsaidia kipesa, zinamjengea hisia kwamba hata huko mbele ya safarai utakuwa mume wa aina hiyo hiyo ...

nawe hebu soma kwanza, mapenzi baadae...
 
Kuna uwezekano kwamba anakutumia bila kuwa na malengo yoyote na wewe...
Kuna uwezekano kwamba anakutumia akijua wewe ni wake na yeye ni wako.

Swala la simu na kusaidiana pesa sio kama vimeanza leo. Muhimu ni ujue kama mwenzako yupo kwenye ukurasa sawa na uliopo wewe au la.
Ongea nae umweleze kwamba wewe unataka kweli mahusiano yenu yafike mbali je yeye anatakaje? Kma nae atasema anataka muendelee unaweza ukapunguza hiyo misaada au ukaacha kwa muda mkabaki na mawasiliano tu kujua kama yuko na wewe kwaajili ya vijisenti tu au la.
Ila swala la kutishana achana nalo....kua mwanaume na sio mtoto wa kiume.
 

Hili nalo wazo mkuu. Usisahau kulifanyia kazi.
 
Thanks nitaufanyia kazi ushauri wako.
 
You are right.
 






kama kweli angekuwa anakupenda nadhani wewe ungekuwa mtu wa kwanza kukwambia kama kanunua simu.

You do not need to think about vitu vikubwa,just that pont.
 
dah....jamaa mzito wewe!jibu unalo mbona?HAKUJALI NA HAKUPENDi.usipoteze mda zaidi.mpotezeet huyo nyang'au asiyejua kujaliwa.
 
Mbu sasa nieleze katika hii situacion unafikiri mapenzi yanatakiwa yawe ya stail gani? Kwa mfano kama yy ndiye yupo Dar na ndiye anayeweza kunisaidia ,zaidi ya hayo anaposoma zipo bank zipo naye anasoma mambo hayohayo. kwa HIYO nilitegemea yeye ndo awe my help at that point.
 
Ukiona mwanamke wako anakupuuzia vitu vidogo hiyo ni dalili ya dharau.Sasa kama unaona anakudharau wakati bado hujamuoa,tafadhali mkuu,ACHANA NAYE MAPEMA!
Ogopa sana mwanamke anayekudharau!Tena wanaume wengi huwa tunagundua huu ugonjwa mapema ila tunapuuzia tu,halafu baadaye yanatupata matatizo.Guys,if u can't run your lady,you are DOOMED!
ACHANA NAYE!!!!
Mwanamke wako asipokuheshimu,usisubiri upewe ushauri coz mapenzi sio kurekebishana mapungufu yetu,ni kukubaliana.We are not perfect,so,before you love someone,make sure your imperfections coincide!!!!
 
Mkuu this is more than ushauri. Thanks kaka.
 
yani kusoma hujui hata picha tu aaaaaaaaaaaaarhgggggggggggh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…