Wanawake umewaona wameolewa kifua kimesimama



. Amechezewa na watu zaidi ya ya wanne ndio anakuja kuolewa, leo useme amekuja kwangu kwaajili ya ndoa ilihali wanatafuta unafuu wa maisha. Mabinti wangapi walioolewa uliona wanauwezo wakimaisha wakati wamesimama hawajui waende wapi. Kamuulize binti aliyetoka chuoni kama anataka ndoa, atakwambia, I want to develop my carrier na kuwastable ila ndoa sio mpango, subiri 1 to 2 years uone atakujibu nini maana wanakuwa wameweka mwanaume kama contingency plan baada ya maisha au ajira kuwakataa. Kijana, wanaume tunaishi kwenye hii hii jamii tuliochanganyikana na wanawake hivyo ujue wao sio malaika na siwatakatifu ni binadamu tu. Usitetee point kwakumkweza mtu fulani ili aonekane yeye ni bora huo ni ukosaji wa maarifa. Watu wanafanya hadi upumbavu mpaka tushaanza tusiulizane yaliyopita tugange yajayo leo useme eti chuchu saa sita. Njoo uone mabinti wanavyotoa mimba hospitalini. Acha primitive thinking.