Habari ya kazi. Mimi ni graduate ila home kuna gari aina ya pick up, sasa shida yangu ni weke wapi kwenye vijiwe vizuri ili iweze kuwa ya kukodishwa, maana niliwauliza watu wa vijiweni wakaniambia we nenda nje ya mji wanapojenga nyumba uwe unabebea maji. Naomba ushauri maana ni mgeni kwenye hii biashara nataka nijikwamue kiuchumi.
uwezo wa Pick Up ni kubeba tani moja
uwezo wa Pick Up ni kubeba tani moja