its a norm kwetu waafrika kwamba baada ya ndoa ni lazima mke na mume wakae nyumba moja...moving italeta matatizo mapema sanaaaa,kwanza utaanza is his job better than mine na kama utakuwa hujapata kazi huko mwanza ndio shida kabisaaa, cause unahela yako ndio, what happens pale umetumia wee,hela inaanza kuisha, kazi hujapata so you now have to ask for money kila mara...sacrifices hufanyika sana, mi nakushauri kuanza kutafuta kazi au mradi wa kufanya mapemaaa huko Mwanza kabla hujaamua kuolewa. Tena pale uanze kufanyiwa visa vya maneno baada ya kuomba hela heheeheee...alafu watu wanasemaga money sio ishu, love is what matters...nyoooooooo