Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
WAMESHAANZA KAMPENI NA HAKUNA ANAYEWAKEMEA...Huu ndio upumbavu wa 2019!!! Huyo jamaa anayejiita Frolian, kwamba amefanya analysis yake kisha katuletea tutoe comments. Tunashukuru.
Kwa ufupi ni analysis ya kijinga, lakini hata katika ujinga huwa kuna merits. Kimsingi ni kwmba the opposite is true katika kila kipengere.