USHAURI, Lissu asigombee urais Hawezi kushinda!

Ni vyema wapinzani wakaweka mgombea urais makini sana ili hamasa iwe kubwa na hatimaye waweze kupata wabunge na madiwani wengi. Kwa tume hii ya Uchaguzi ambayo mwenyekiti na makamishina wote wanategemea fadhila za Ikulu, kushinda urais itakuwa sawa na kuokota dodo jangwani.
 
Tumia akili siku nyingine unapotoa argument. Vinginevyo unaonekana mjinga tu unayestahili kupuuzwa. Wangekuwa wanagombea wanaoshinda tu, kila uchaguzi ungekuwa na mgombea mmoja tu. Na pengine kusingekuwa na mgombea kabisa kwa vile mshindi naye asingejua kuwa atakuwa mshindi kabla ya uchaguzi. Kabla ya kuandika, fikiria kwanza...
 
Kuna haja kubwa sana ya vijana kupata Elimu ya uraia hasa juu ya Democracy . Nimegundua vijana wengi hatujajua mana ya Democracy. Brother kuwa tayari kujifunza mana ya Democracy, itakusaidia sana ktk harakati za kisiasa.
 
Naunga mkono hoja. Very good and critical analyisis.

Ukizingatia Mwenyekiti wa time ya uchaguzi anateuliwa na raisi, wasimamizi wa uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama.

Hoja dhaifu za wapinzani. Katika my ninapenda apate wabunge zaidi na kuimarika ni ACT wazalendo. Chama ambacho Kiko very strategic kuja kuchukua dola miongo ijayo.
 
Teleza ni jina linalomaanisha aina ya ubakaji unaotokea ndani ya kata ya Mwanga Kusini katika Halmashauri ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma. Post yako iko kiteleza teleza
 
Sijamuelewa mleta hoja na kama Luna aliyemuelewa adadavur hapa!
Ccm wamepanic mno na uchaguzi ujao wanakwenda kupoteza na huo utakuwa mwisho wao!
2020, Mungu atawatia akili ya kutambua dhambi ya wizi kuwa ni mbaya hivyo hawataiba kura! Namuomba Mungu aweke kambi ya muda Tanzania kwa ajili ya uokovu Wa watu wake!
 
Sawa waaamz ni wapiga kura kwenye sanduku la kura hata weeee gombea tu kama huna hela ya fomu sema tuchange
 
Mlitaka kumuua ili afe mmeshindwa sasa ni wakati wake wa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom