USHAURI, Lissu asigombee urais Hawezi kushinda!

Jibu ni moja tu, hiyo sababu namba mbili
Kwa nafasi ya urais, kuhusu namba tatu unasema umoja umeimarika CCM halafu unawataja viongozi wa juu wa watatu hivi hao ndio CCM?

Ni mawazo yako kushinda Na kushindwa pia ni sehemu ya kujaribu
 

Maendeleo yote Bila watu kushiba ni bure,tasfiri ya neno maendeleo sio kurundika vitu,ni jinsi gani watu wananufaika Na vilivyopo,je vimewaondolea njaa,ndege still si Kwa wanyonge hakuna awezae mudu nauli yake kama ukuwahi panda fastjest subiria labda ukiwa maiti ndo upande ATC one way to ni zaidi ya mshahara wa kima cha chini,
 
Peleka ujinga wako huu kwenu Lumumba!
 
Ushauri wangu kwa viongozi Wa Vyama hivi Vya upinzani, ni Kweli lissu ni Jibu sahihi kwa Nafasi ya urais 2020 Ila sio wakati sahihi, Kwa Nafasi ya urais 2020 Lissu hawezi kushinda kwa sababu Mbalimbali
Usiwape moyo Musumi Emmanuel Florian, that will simply never happen! Just tell em the naked truth, never...
 
CCM YA SASA NI KM SIMBA YA SASA TOFAUTI KBS NA CHADEMA AMBAYO NAIFANANISHA NA YANGA YA KUTEMBEZA BAKULI...

HAPA NI KAZI TU NO ANY ONE LATE CCM DOWN
 
Genius wa Lumumba naona umeshuka kweli pointless toka Lumumba naonga wanakupongeza kweli huko .
 
Naunga mkono hoja




P
 
Wewe nani?
Wewe si ndiyo walio shiriki kutaka kumuua?
 
Jibu ni moja tu, hiyo sababu namba mbili
Kwa nafasi ya urais, kuhusu namba tatu unasema umoja umeimarika CCM halafu unawataja viongozi wa juu wa watatu hivi hao ndio CCM?
Huyo mleta mada ni zaidi ya chumia tumbo
 
Weka na namba yako ya simu uingie kwenye droo ya uteuzi
 
Kama unajua hawezi kushinda si ukae kimya ili akigombea ashindwe basi,
 
Florian musumi,

..naomba kukupa TAARIFA.

..mtu yeyote ambaye ameshindwa uchaguzi nafasi ya Uraisi, halafu asikubaliane na matokeo, na akapanga njama za kujitangaza mshindi, atakuwa ametenda kosa la UHAINI.

..kwa hiyo naomba uitafakari upya hoja yako haswa kipengele # 2.

Cc Nguruvi3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…